Kwanini Prof. Safari Alijiunga na Chadema Siku ya Wajinga?

Siku ya wajinga ina masaa yake mwisho saa nne asubuhi. Sasa yeye alijiunga saa ngapi!!
 
Ungeuliza kwanini Prof.Safari amejiunga Chadema ningekujibu, ila hayo mengine uliyouliza naona ni upuuzi
 
Ilipangwa! Kwa sababu yeye ni mjinga alikuwa anawawahi wenzake siku hiyo!
 
Nadhani kuita siku ya wajinga ni ujinga pia!!!!!! kwanini wewe umwambie mwenzako ujinga halafu anapoukubali ujinga unamwita mjinga? ndiyo maana mimi mtu anayeniambia kitu cha kijinga siku hiyo na hata siku nyingine mimi namweka katika watu wachafu wasionifaa---blacklist
 
kwahiyo wewe binafsi ungekuwa na appointment ya new employment usingekwenda siku hiyo? yaani majitu mapuuzi yanaongezeka humu kila siku.
 
Alihamia siku ya wajinga kwa sababu yeye pia ni mjinga............
 
Alihamia siku ya wajinga kwa sababu yeye pia ni mjinga............

Inawezekana kweli ni mjinga, lakini wewe na familia yako Uprofesa mtausikia redioni. halafu ndio utajuwa yeye na wewe na familia yako mjinga nani.
 
NINAANZA KUWA NA WASIWASI NA BAADHI YENU HUMU NDANI JAMVINI,mnapaswa kuwa makini kwa hoja makini "TUNACHEKA KWA YALE TULIYOSTAHILI KULIA" na "TUNALIA KWA YALE TULIYOSTAHILI KUCHEKA" baadhi ya majibu tunayotoleana si ya kiungwana kabisa.ni matarajio yangu kwamba humu pangekuwa kisima cha hoja makini zitolewazo bila u-mimi,u-wao nk. tuwe na hoja zenye kuelekezana na kushauriana kwa baadhi ya mambo pale inapobidi kwa maslahi ya taifa na kwa vizazi vijavyo AHSANTENI...Bravo.....prof......surfery!
 
Kama ulikuwa huelewi ni watu wenye tabia ya kufuata mkumbo wanaoitambua/adhimisha siku hiyo. Kwanza nani kaiweka siku hiyo? Tupo watu kibao tusiochukuliwa na mambo ya aina hiyo yasiyo na tija ktk jamii hata kama yameanzia Ulaya au kwingineko.
 
Ni siku ya wajinga kwa wajinga, sawa na viti maalumu kwa watu maalum. Anyway inategemea na wewe mwenyewe, kama ni mjinga endelea kuwaza ujinga.,
 
any body to soy something on this please?

Una matatizo wewe.............

  1. Huna kazi za kufanya...
  2. Nadhani unapenda mzaha usio na maana,sidhani kama Prof kujiunga siku hiyo ina implication yoyote
  3. Naomba elimu yako ndipo nikudadavue vizuri..................
 
Back
Top Bottom