Kwanini Pinda kaenda kula X-mass wakati Dar kuna maafa?

johnmashilatu

JF-Expert Member
Sep 16, 2010
718
703
wadau.
najaribu kutafakari lakini majibu yanakuwa haba kuhusu janga kubwa linaloendelea Tanznaia kwa sasa: mafuriko katika jiji la Dar es salaam. kuna mambo mengi katika mafuriko haya hayakai vizuri akilini

wakat kukiiwa na taarifa za kukanganya juu ya idadi waliopoteza maisha, jambo kubwa linalojitokeza katika mafuriko ghayo ni ukosefu wa utayari kama taifa katika kukabiliana na majanga.

Ofisi ya waziri mkuu ndio waratibu wa majanga yanayotokea hapa nchini ambapo kila mwaka hupatiwa fungu kwa ajili ya utekelezaji wa kusudio la kuanzishwa kwake.

sasa waziri Mkuu Bw Mizengo Pinda kwanini afunge safari wakati huu kwenda Nyumbani kwao Mpanda wakati hali ikiwa tete mkoani dar es salaam na taarifa zikisema hali inaweza kuw ambaya pia katika mikoa mingine kama mbeya.

kuna ulazima kweli kwa mratibu mkuu wa shughuli za maafa kufunga safari kwenda kwenye sikukuu za X_mass na mwaka mpya katika wakati huu?
 
Mbona jana alikwua ofisini kwake akiendesha kikao cha makatibu wakuu? Au nyumbani kwake unakomaanisha ni Oysterbay?
 
Huyu jamaa anaenda mno kwao. Utafikiri yeye ni waziri mkuu wa Rukwa? Na alikuwa anakwenda hivi hivi kama sasa kabla ya kuwa waziri? ua kodi za watz wanaolalama na mafuriko ndizo zinazompagawisha na kukuona Rukwa ni karibu kama kariakoo na Mnazimmoja?
 
akienda kwao mnalalamika,akienda nje ya nchi mlalamike.dah!!watanzania tunapenda kujilalamisha sana jaman!
 
wadau.
najaribu kutafakari lakini majibu yanakuwa haba kuhusu janga kubwa linaloendelea Tanznaia kwa sasa: mafuriko katika jiji la Dar es salaam. kuna mambo mengi katika mafuriko haya hayakai vizuri akilini

wakat kukiiwa na taarifa za kukanganya juu ya idadi waliopoteza maisha, jambo kubwa linalojitokeza katika mafuriko ghayo ni ukosefu wa utayari kama taifa katika kukabiliana na majanga.

Ofisi ya waziri mkuu ndio waratibu wa majanga yanayotokea hapa nchini ambapo kila mwaka hupatiwa fungu kwa ajili ya utekelezaji wa kusudio la kuanzishwa kwake.

sasa waziri Mkuu Bw Mizengo Pinda kwanini afunge safari wakati huu kwenda Nyumbani kwao Mpanda wakati hali ikiwa tete mkoani dar es salaam na taarifa zikisema hali inaweza kuw ambaya pia katika mikoa mingine kama mbeya.

kuna ulazima kweli kwa mratibu mkuu wa shughuli za maafa kufunga safari kwenda kwenye sikukuu za X_mass na mwaka mpya katika wakati huu?

teh teh teh teh teh teh teh nashukuru sana mleta mada kunikumbusha vibweka vya pinda ngoja nimalizie kucheka kisha niwajuze kinacho mpeleka home mala kwa mala.Teh teh teh teh ndeeeee mbwiiiiii uuuwiiiii.

Ngoja nitumie jina hili TEJA PINDA ujue uteja siyo lazima uwe wa madawa ya kulevya (unga) tu hata yale matapu tapu yakikukaa sana nayo ni uteja.

Waziri mkuu ni teja mnywa matapu tapu na pindi ayakosapo hupata tabu sanaaa na pindi awapo na umeme/alost ya chimpumu hima sana huenda kwao kujidunga dozi ya matapu tapu yaliyo wekwa kwenye chungu/mtungi ukinyonya taratibu kama wanywa kijoti vile???

Ukitaka kujua raha ya chimpumu muulize PINDA.
 
Back
Top Bottom