jastertz
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 392
- 743
Habari wa JF,
Leo nilikua mahali napiga story mbili tatu na pisi moja hivi mitaa ya stend. Tuliongea mengi then tukazama kwenye story za mapenzi, nikamuuliza, kwanini wapenzi wa kutafutana na kupendana hawadumu kwenye ndoa, tofauti na zamani ile unaambiwa huyu ni mke/mme wako? Mnaona ambao wengi ndio mababu zetu hawakupendana but hawajatengana.
Akacheka daladala ikaja akapanda akaondoka.
Naombeni ufafanuzi hapo, shida ni nini?