Kwanini mwanamke ukimwambia unataka kumuoa ndiyo anakukataa mapema?

Iko hivi....
Ni wachache sana utawaambia unataka kuwaoa wakatae..Maana kizazi cha sasa kinapenda kuolewa kuliko kitu chochote...

Sasa basi..Wanawake nao wamekuwa wajanja siku hizi....kabla hii mbinu yenu haijashtukiwa...Mlikuwa mnakuja nayo then mnawalia hela zao kiurahisi kabisa.. wakijua wanamsaidia mume mtarajiwa
 
Hao wanawake wa kuliwa hela wako wapi ?

Asilimia kubwa ya wanawake bongo hawana vipato. Hata wakiwa wanafanya kazi ni za mishahara midogo midogo.
 
Utaratibu wa dating umefanya uhuni upendwe kuliko uhalali

Mtu ukitaka kumchukua kwao kihalali anashangaa anaona una haraka anataka uwe unampa mahitaji ya mke bila commitment ya ndoa
Yani kunamda nawaza bila kutumia uhuni hapa mke sipati.. japo sijawahi kua muhuni ni mtu na heshima zake ila itabidi kuigiza tuu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Iko hivi....
Ni wachache sana utawaambia unataka kuwaoa wakatae..Maana kizazi cha sasa kinapenda kuolewa kuliko kitu chochote...

Sasa basi..Wanawake nao wamekuwa wajanja siku hizi....kabla hii mbinu yenu haijashtukiwa...Mlikuwa mnakuja nayo then mnawalia hela zao kiurahisi kabisa.. wakijua wanamsaidia mume mtarajiwa
Hao wanaotaka kuolewa wako wapi mkuu. Mbona sikutani nao.?

Back
Top Bottom