Kwanini mnywaji wa pombe ukimuita mlevi anakasirika?

Habar zenu wadau.

Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua wanyaji wengi wa pombe ukiwaita walevi wanakasirika japo sio wote ila % kubwa wapo ivo.

Kwanini wakasirike wakat ni walevi kweli hii imekaaje wadau?
Kuna mlevi wa madaraka, Kuna walevi wa sifa.......nk
 
Addict aliyekwambia ina maana ya ulevi ni nani??
hayo unayasema wewe, ukivuka normal range ya matumizi ya binadamu na kuwa compromised behaviour, unakuwa addict ambayo society inayokuzunguka inaiona kama mwana mpotevu! unaelekea kupoteza acceptable social being na mtu akiitwa mlevi society inalenga huko ......
 
Kijana, in most instances, the word is used in the derogatory sense of the meaning of the word, otherwise, no one would feel offended/embarrassed by calling him a Mlevi!
Uwo ni mtazamo t wa jamii ila sio uhalisia kuna mdau alishaeleza uko juu kuwa ulevi sio sifa nzuri ktk jamii ndio maana watu wanakasirika ukiwaita
 
Habar zenu wadau,

Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua wanyaji wengi wa pombe ukiwaita walevi wanakasirika japo sio wote, ila % kubwa wapo ivo.

Kwanini wakasirike wakat ni walevi kweli, hii imekaaje wadau?
Ukimkuta mtu anakula ukimuita Mlafi pia anakasirika sana🤣🤣🤣🤣

Ukimkuta anakunywa we mwambie Boss/tajiri naona unajipumzisha🤣🤣🤣
 
Habar zenu wadau,

Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua wanyaji wengi wa pombe ukiwaita walevi wanakasirika japo sio wote, ila % kubwa wapo ivo.

Kwanini wakasirike wakat ni walevi kweli, hii imekaaje wadau?

Wanywaji wote wa pombe Sio walevi, kwa hiyo Sio jina lao maana wewe umesema wanywaji pombe! Ni sawa ba kumuita mtu anayefanya mapenzi malaya
 
Back
Top Bottom