Kwanini Mh Rais hakutokea kwenye sherehe za siku ya wafanyakazi (Mei Mosi)

copyright

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
299
232
Habari ya kazi wakuu!!

Naomba kwenda moja kwa moja kwenye hoja.
Hili nimekaa nalo sana tangu tarehe moja hadi leo na kila siku linaniumiza, nikikaa na wafanyakazi wenzangu naona wanahoja tofauti tofauti sasa leo nimeamua kuja mbele yenu wanajukwaa mnisaidie hili.

Nimetonywa hapa kuwa katiba ya JMT inamtambua moja kwa moja Mh Rais kama ndiye mgeni rasmi kwenye sherehe zote za kitaifa so kwa uelewa wangu mdogo najua kuwa ata hasipopata mwaliko ila akiamua kwenda kwenye sherehe husika bado atakuwa mgeni rasmi.

Sasa katika sherehe za Mei Mosi 2024 pale Arusha kwa baba Keegan hatukumuona mama yetu mpendwa na badala yake alikuepo Daktari Mpango. Hii ilikuwa ni tofauti na matarajio yetu watumishi kwani kwa miaka yote tumekuwa tukishuudia uwepo wa Top 3 (sasa Top 4) ya serikali yote ktk sherehe hizi.

Tunajua ratiba ya Rais ni ngumu sana ila kiukweli watumishi tumefadhaika sana kwa kutokuwepo kwa mama yetu katika sherehe zetu kwa sababu:
>Tumeambiwa alikuwa nchini Kenya, lakini wote tunajua ukaribu wa nchi ya Kenya na mkoa wa Arusha kijografia ambapo ukitoka sehemu moja hautakaa masaa mengi angani utakuwa umefikia sehemu nyngne.

>Hatukupata fursa ya kusikia maneno yake ya kututia moyo na yale yakufurahisha yenye vionjo vya Kizanzibar

>Tumehisi kudharauliwa kwani tunajua mwaliko alishapewa mapema na tarehe ya sherehe always haibadilikagi na ukizingatia alikuwa sehemu ambayo ni karibu tu na venue.

>Tumeona kama tumekimbiwa kwani tulitamani kusikia kitu kutoka kwake juu ya mazingira yetu ya kazi ya kila siku na kuhusu kikokotoo kwa wazee wetu.

Sasa wanajukwaa kwa kuwa mimi nipo Kijijini Kidologwai na sina chaji na solar hazichaji kwa sababu jua halitoi kutokana na mvua na mawingu mazito, na pia uhenda kuna taarifa ilitoka ila sikuipata wala kuisikia naomba niishie hapa kwa kuwauliza, kwanini Mh Rais hakutokea kwenye sherehe za Mei Mosi2024 pale Arusha??

Habari ya kazi wakuu!!

Naomba kwenda moja kwa moja kwenye hoja.
Hili nimekaa nalo sana tangu tarehe moja hadi leo na kila siku linaniumiza, nikikaa na wafanyakazi wenzangu naona wanahoja tofauti tofauti sasa leo nimeamua kuja mbele yenu wanajukwaa mnisaidie hili.

Nimetonywa hapa kuwa katiba ya JMT inamtambua moja kwa moja Mh Rais kama ndiye mgeni rasmi kwenye sherehe zote za kitaifa so kwa uelewa wangu mdogo najua kuwa ata hasipopata mwaliko ila akiamua kwenda kwenye sherehe husika bado atakuwa mgeni rasmi.

Sasa katika sherehe za Mei Mosi 2024 pale Arusha kwa baba Keegan hatukumuona mama yetu mpendwa na badala yake alikuepo Daktari Mpango. Hii ilikuwa ni tofauti na matarajio yetu watumishi kwani kwa miaka yote tumekuwa tukishuudia uwepo wa Top 3 (sasa Top 4) ya serikali yote ktk sherehe hizi.

Tunajua ratiba ya Rais ni ngumu sana ila kiukweli watumishi tumefadhaika sana kwa kutokuwepo kwa mama yetu katika sherehe zetu kwa sababu:

Sasa wanajukwaa kwa kuwa mimi nipo Kijijini Kidologwai na sina chaji na solar hazichaji kwa sababu jua halitoi kutokana na mvua na mawingu mazito, na pia uhenda kuna taarifa ilitoka ila sikuipata wala kuisikia naomba niishie hapa kwa kuwauliza, kwanini Mh Rais hakutokea kwenye sherehe za Mei Mosi2024 pale Arusha??

wewe ukiona mtu anaekudai kakaa sehemu anakula pepsi unaweza kupita mbele yake?
 
Huenda watu wamekula pesa ya nchi kiasi kwamba amekosa cha kuwaahidi wafanyakazi akaona bora aingie mitini. Tumekopa sana still ni kama hatuna chochote tunachokifanya huenda wateule wanapigana vikumbo kula kwa urefu wa kamba zao.
 
Watu wamejimilikisha nchi yetu sio mpaka wamesahau kama kuna sisi huku vijijini
 
Ualimu ni kada ya hovyo kabisa, maana ndiyo yenye watumishi wanao fanya kazi ya mjomba nchini Tanzania.

Kataa ualimu tz, kataa laana.
Sasa watoto wetu watafundishwa na nani kama tutakataa ualimu mkuu
 
Habari ya kazi wakuu!!

Naomba kwenda moja kwa moja kwenye hoja.
Hili nimekaa nalo sana tangu tarehe moja hadi leo na kila siku linaniumiza, nikikaa na wafanyakazi wenzangu naona wanahoja tofauti tofauti sasa leo nimeamua kuja mbele yenu wanajukwaa mnisaidie hili.

Nimetonywa hapa kuwa katiba ya JMT inamtambua moja kwa moja Mh Rais kama ndiye mgeni rasmi kwenye sherehe zote za kitaifa so kwa uelewa wangu mdogo najua kuwa ata hasipopata mwaliko ila akiamua kwenda kwenye sherehe husika bado atakuwa mgeni rasmi.

Sasa katika sherehe za Mei Mosi 2024 pale Arusha kwa baba Keegan hatukumuona mama yetu mpendwa na badala yake alikuepo Daktari Mpango. Hii ilikuwa ni tofauti na matarajio yetu watumishi kwani kwa miaka yote tumekuwa tukishuudia uwepo wa Top 3 (sasa Top 4) ya serikali yote ktk sherehe hizi.

Tunajua ratiba ya Rais ni ngumu sana ila kiukweli watumishi tumefadhaika sana kwa kutokuwepo kwa mama yetu katika sherehe zetu kwa sababu:

Sasa wanajukwaa kwa kuwa mimi nipo Kijijini Kidologwai na sina chaji na solar hazichaji kwa sababu jua halitoi kutokana na mvua na mawingu mazito, na pia uhenda kuna taarifa ilitoka ila sikuipata wala kuisikia naomba niishie hapa kwa kuwauliza, kwanini Mh Rais hakutokea kwenye sherehe za Mei Mosi2024 pale Arusha??

Katiba Mpya inayojisimamia ya Tanganyika ni Sasa! Kuna tetesi alipokuwa Kenya, Afya ilitetereka, akakimbizwa kwa wabia wake UAE. Si ulimuona Ruto alikuwa mstari wa mbele na wafanyakazi wake, yeye Kenya alikuwa anafanya nini?
 
Nilikwenda stadium,kulikuwa hakuna nafasi.
Nilijaribu kuingia kidogo nipate mkong'oto.
Rais Samia hakufika kwa vile stadium ingekuwa ndogo sana.
 
Aisee! Ata mi nilishangaa kusikia yupo kwa majirani wakati ni karibu tu na Chuganistani
 
Nilikwenda stadium,kulikuwa hakuna nafasi.
Nilijaribu kuingia kidogo nipate mkong'oto.
Rais Samia hakufika kwa vile stadium ingekuwa ndogo sana.
Kwanini walishagua kufanya hapo? Na pia mgeni rasmi ni kama dereva ata gari ijae hakosi siti
 
Back
Top Bottom