Kwanini mamlaka hizi zimeacha familia ya Rais idhalilike

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,821
11,527
Hivi karibuni kumetokea hali ya sintofahamu inayoigusa familia ya rais kuhusu mtoto kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma ili hali hana sifa.

Mengi yamesemwa lakini mpaka sasa kuna mamlaka zipo na zilipaswa kuweka mambo vizuri ili familia ya rais isiendelee kudhalilika lakini wapo kimya wakiacha tuhuma hizo ziendelee kusambaa na kuharibu taswira ya familia ya rais wetu mpendwa.

Sote tunatambua kuwa hakuna jambo baya kama kughushi vyeti na elimu na ndio suala ambalo rais wa wetu analipigania kuhakikisha tunapata wasomi wazuri wenye uwezo, lakini pia pamoja kwamba suala hili linaidhalilisha familia ya mkuu wa nchi linaweza pia kutumiwa kisiasa kwa nchi za wenzetu zenye demokrasia hili hupelekea rais kujiuzulu, tukumbuke kuwa tuhuma zikiachwa hata kama ni za uongo bila kutolewa ufafanuzi basi jamii huchukulia ni kweli.

Tume ya vyuo vikuu (TCU), Ikulu, NACTE, Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), chuo alichosoma cheti na diploma mwanafunzi Jesca mpo wapi mnaiacha familia ya rais idhalilike mmeshindwa nini kujitokeza kulitolea ufanunuzi hili jambo mnaijengea taswira mbaya familia ya rais.
 
Hivi karibuni kumetokea hali ya sintofahamu inayoigusa familia ya rais kuhusu mtoto kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma ili hali hana sifa, mengi yamesemwa lakini mpaka sasa kuna mamlaka zipo na zilipaswa kuweka mambo vizuri ili familia ya rais isiendelee kudhalilika lakini wapo kimya wakiacha tuhuma hizo ziendelee kusambaa na kuharibu taswira ya familia ya rais wetu mpendwa, Sote tunatambua kuwa hakuna jambo baya kama kughushi vyeti na elimu na ndio suala ambalo rais wa wetu analipigania kuhakikisha tunapata wasomi wazuri wenye uwezo, lakini pia pamoja kwamba suala hili linaidhalilisha familia ya mkuu wa nchi linaweza pia kutumiwa kisiasa kwa nchi za wenzetu zenye demokrasia hili hupelekea rais kujiuzulu, tukumbuke kuwa tuhuma zikiachwa hata kama ni za uongo bila kutolewa ufafanuzi basi jamii huchukulia ni kweli.

Tume ya vyuo vikuu (TCU), Ikulu, NACTE, Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), chuo alichosoma cheti na diploma mwanafunzi Jesca mpo wapi mnaiacha familia ya rais idhalilike mmeshindwa nini kujitokeza kulitolea ufanunuzi hili jambo mnaijengea taswira mbaya familia ya rais.
Kwani aliesema vilaza ni nani?
 
Hivi karibuni kumetokea hali ya sintofahamu inayoigusa familia ya rais kuhusu mtoto kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma ili hali hana sifa.

Mengi yamesemwa lakini mpaka sasa kuna mamlaka zipo na zilipaswa kuweka mambo vizuri ili familia ya rais isiendelee kudhalilika lakini wapo kimya wakiacha tuhuma hizo ziendelee kusambaa na kuharibu taswira ya familia ya rais wetu mpendwa.

Sote tunatambua kuwa hakuna jambo baya kama kughushi vyeti na elimu na ndio suala ambalo rais wa wetu analipigania kuhakikisha tunapata wasomi wazuri wenye uwezo, lakini pia pamoja kwamba suala hili linaidhalilisha familia ya mkuu wa nchi linaweza pia kutumiwa kisiasa kwa nchi za wenzetu zenye demokrasia hili hupelekea rais kujiuzulu, tukumbuke kuwa tuhuma zikiachwa hata kama ni za uongo bila kutolewa ufafanuzi basi jamii huchukulia ni kweli.

Tume ya vyuo vikuu (TCU), Ikulu, NACTE, Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), chuo alichosoma cheti na diploma mwanafunzi Jesca mpo wapi mnaiacha familia ya rais idhalilike mmeshindwa nini kujitokeza kulitolea ufanunuzi hili jambo mnaijengea taswira mbaya familia ya rais.

Udhalilishaji hapo hasa ni nini kwamba matokeo ya Jesca si ya kweli au? Kwenye hili sakata wapo wengine ambao wameguswa kwa namna moja ama nyingine na wamejitokeza hadharani kutoa ufafanuzi kuhusu elimu zao akiwemo Prof. Mwandosya. Kwa hiyo sidhani kama ni wajibu wa mamlaka ulizozitaja kutoa ufafanuzi kuhusu matokea ya Jesca.

Katika kazi tulizowapa hizo mamlaka wanakopaswa kutumia kodi zetu hiyo unayoisema wewe si mojawapo mkuu sorry. Anayetakiwa kujitokeza ili kukanusha hizi habari na kutueleza ukweli wa mambo ni Jesca mwenyewe hakuna mwingine. Jesca na wale wengine wote walioitwa vilaza wana haki sawa ni watanzania wote na kwa bahati nzuri tumewasikia hao wengine wakikanusha kwamba hawana hizo div 4 zilizotamkwa so ni wakati wake naye ajitoke alielezee hili na si hizo mamlaka.
 
Mkuu hakika umenena jambo ambalo wengi wanalipuuzia lakini mwisho wake huwa lina gharama kubwa. Tuhuma zozote dhidi ya mtu, familia, kikundi cha watu lazima nk. lazima zipingwe na kukanushwa kwa nguvu zote ili kulinda taswira ya watuhumiwa. Kukaa kimya husababisha kitu kiitwacho character assasination. Hata nchi inapotuhumiwa jambo fulani hutolewa tamko kupinga au kusahihisha tuhuma hizo. HAKUNA KUNYAMAZIA TUHUMA. Taswira itauawa na athari zake ni kubwa na hata zinaweza kuwa za maisha. Mfano ni ni mwanasiasa EL.
 
Hivi karibuni kumetokea hali ya sintofahamu inayoigusa familia ya rais kuhusu mtoto kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma ili hali hana sifa.

Mengi yamesemwa lakini mpaka sasa kuna mamlaka zipo na zilipaswa kuweka mambo vizuri ili familia ya rais isiendelee kudhalilika lakini wapo kimya wakiacha tuhuma hizo ziendelee kusambaa na kuharibu taswira ya familia ya rais wetu mpendwa.

Sote tunatambua kuwa hakuna jambo baya kama kughushi vyeti na elimu na ndio suala ambalo rais wa wetu analipigania kuhakikisha tunapata wasomi wazuri wenye uwezo, lakini pia pamoja kwamba suala hili linaidhalilisha familia ya mkuu wa nchi linaweza pia kutumiwa kisiasa kwa nchi za wenzetu zenye demokrasia hili hupelekea rais kujiuzulu, tukumbuke kuwa tuhuma zikiachwa hata kama ni za uongo bila kutolewa ufafanuzi basi jamii huchukulia ni kweli.

Tume ya vyuo vikuu (TCU), Ikulu, NACTE, Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), chuo alichosoma cheti na diploma mwanafunzi Jesca mpo wapi mnaiacha familia ya rais idhalilike mmeshindwa nini kujitokeza kulitolea ufanunuzi hili jambo mnaijengea taswira mbaya familia ya rais.
alikuwa Riz one kwenye utawala wa awamu ya nne. hakukauka kwenye vinywa vya wandishi wa habari kila wakati alipamba kurasa za mbele za magazeti na mitandao.

sasa zamu ya jesca kaanza kwenye mitandao wadau wa sakata hili wanalazimisha magazeti yaandike habari hiyo ya udaku na kutunga.

hivi watanzania tumelogwa na nani?
lini mijadala ya maendeleo itapamba moto na kujizolea umaarufu mkubwa na kupewa kipaumbele kwenye kurasa za mbele za magazeti na mitandao?
maana ndiyo yanayoweza kutuvusha kitoka tulipo.

kwa utaratibu huu wa maisha ya kiumbeya umbeya,

kuishi maisha ya dunia ya kwanza tusahau.
 
Back
Top Bottom