Kwanini Maafisa mikopo wanapenda rushwa?

Nia ya kuuliza ni kujua kama wafanyabiashara wengine wanafanya hivyo.
Manake wao kuomba hivyo inamaanisha wamezoea kufanya hivyo.

Mkuu Bavaria hali hiyo mimi ilishawahi kunitokea wakati nimeomba mkopo ktk benki ya NMB,nilitimiza vigezo vyote lkn Mkopo kuja kuupata nilichukua muda wa mwezi mzima kisa ni kutotoa rushwa,nilipata mkopo wangu baada ya Kufatilia sana kupitia Mamlaka za juu ndipo niliupata.
 
teh teh teh...unadhani mtu anaekopa 100M ni mtu 'mdogo' na kwamba hana connections?..tazama,kaishia 'kushtaki' kwa rafiki yake!
Tafakari kwa nini.

Hajashitaki kwangu.
Aliachana na mpango wa kukopa kwenye hiyo benki.
Amechukua kwenye benki nyingine ambayo haimilikiwi na watanzania.
 
Usikubali kutoa rushwa, mshikishe pesa za moto mshenzi huyo, anafikiri hiyo benki ya ni ya familia yake. Usikubali ujinga huo.
 
Back
Top Bottom