bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 757
- 1,020
Nimekuwa nikifuatilia matukio ya kitaifa mara kadhaa. Cha kushangaza MC Ni yule yule hivi hii imekaaje?
Nani?Nimekuwa nikifuatilia matukio ya kitaifa mara kadhaa. Cha kushangaza MC Ni yule yule hivi hii imekaaje?
UZi ufungwe hapa.Sababu ni MC wa Taifa
Hawana mbadalaNimekuwa nikifuatilia matukio ya kitaifa mara kadhaa. Cha kushangaza MC Ni yule yule hivi hii imekaaje?
Katika hizo mambo Atakua yuko makini na vizuri au itakua ni kitengo maalumu
Shabani kisuNani?
Ndo hostHivi Shaban Kissu yuko wapi siku hizi!?
Bosi wa magic fm nasikiaHivi Shaban Kissu yuko wapi siku hizi!?
Huyu ndio alikuwa MC wa taifa. Sasa nashangaa kusikia kumbe kuna MC mpya wa taifa baada ya Shaban KisuHivi Shaban Kissu yuko wapi siku hizi!?
Na Mzee Mavunde lakini Mzee Mavunde ni mzee sasaHuyu ndio alikuwa MC wa taifa. Sasa nashangaa kusikia kumbe kuna MC mpya wa taifa baada ya Shaban Kisu
Atakuwa nyumbani kwakeHivi Shaban Kissu yuko wapi siku hizi!?