Kwanini kila mechi ya robo, Simba inaanzia nyumbani?

Unapomaliza nafasi ya kwanza unapewa advantage ya kuanzia ugenini na kumalizia mechi ya mwisho nyumbani.

Ukiwa wa pili ,unaanzia nyumbani na kumalizia ugenini.

So inabidi upambane uwe wa kwanza maana kumalizia nyumbani kuna raha yake .....si unajua Africa na Mpira wetu ....
 
Vipi alipoongoza kundi kipindi Cha Al ahly alianzia ugenini? Robo fainal
 
Naunga mkono hoja
 
Vipi alipoongoza kundi kipindi Cha Al ahly alianzia ugenini? Robo fainal
Hata mimi pia nilitaka kuuliza swali kama hili.
Nafikiri kuna upendeleo kwa baadhi ya timu.
Maana kipindi kile Simba aliongoza kundi na bado akaanzia hapa nyumbani na kumalizia ugenini mechi ambayo iliamuriwa kwa mikwaju ya penalties
 
Simba alianzia ugenini dhidi ya Kaizer chiefs na kumalizia kwa Mkapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom