Kwanini Kikwete asisomee urubani

Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,508
1,338
Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu Msafiri au Mtalii Kikwete kutosemea Urubani ili aweze kuitembea dunia vizuri. inaonekana kuwa Kiongozi wa nchi wala hafaidi safari zake kwa kuwa waandishi na Wana JF wanamfuatilia sana hata kumpiga picha akiwa kwenye mabembea. Na nisikia Fisadi Kikwete anataka kwenda North Pole ila hakuna mtu wa kumpokea huko. Mtalii wetu amejipa pia cheo cha waziri wa utalii akiwa nje ya nchi na kuwaita wachukuaji waje wachukue gold, Diamond, Tanzanite na Resource nyingine ambazo wadanganyika hawazitaki iliwampe mipesa ya kutalii Dunia.
 
Back
Top Bottom