Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,088
- 2,705
Kenya inaongozwa na mfumo wa kibepari huku tanzania tumepitia mfumo wa ujamaa.Cha kushangaza wenzetu Kenya ni wazalendo sana kwenye nchi yao hasa linapokuja swala la uraia au mtu anapoishambulia Kenya.
Kenya wamekua wakiingia “Battle” hata na nigeria , South Africa na nchi nyingine kubwa ambazo zina pride sana kwene uraia wao.
Ukiacha Nigeria Nchi inayofuata ni Kenya usiguse hii nchi linapokuja swala la uzalendo wa kupigania nchi yao au kutetea nchi yao.
Ni kweli nchi yao ina matatizo kama Njaa,Ukabila rushwa na kadharika lakini linapokuja suala la Nchi haya yote hutayaona wanapambana utadhani Kenya ni nchi ya kabila moja dini moja na lugha moja.
Hata somalia ambayo iko more homogeneous hawafikii wala kusogelea hapa.
Swali ni je kwanini Kenya?
nb: Mi ni mtz msije sema ninapigia chapuo kenya (It is what it is)