Kwanini JK asiwe shupavu kama Rais Sata wa Zambia naomba Someni hii attachment!

RasJah

JF-Expert Member
Nov 5, 2009
703
64
image.tiff
 
Mkubwa, mbona empty, why. Cheki up date ya antivirus yako ktk hiyo sipiyuu. Labda virusi vilishaitafuna!
 
hebu iattach tena hiyo kitu mkuu

Samahani sana wanaJF kwani nilikuwa nime-attach hako kanondo toka Citizen ambako kanaelezea jinsi Rais Sata wa ZAmbia anavyoyashughulikia masuala ya zambia mojawapo ni kupindua au kubadilisha maamuzi ya kuuza benki ya kibiashara kwa makaburu, nyingine ile kuwafuta kazi viongozi wa ZRA-Zambia Revenue Authority na kuwafuta kazi DC kama 72 ambayo politicians na kuwaweka academicians. Lakini kesho nitapost tena hako kanondo. Huo ndio urais safi siyo JK anapata kugugumizi katika decisions.
 
Back
Top Bottom