Kwanini inauma?

muhanga

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
875
305
Nilikuwa na mpenzi tulipenda sana, lakini kwa muda sasa mambo yamekuwa hayaendi sawa kabisa, amenipitisha kwenye mambo mengi magumu na tumechokana na tumeamua kuachana kwa kweli sina haja nae kabisaaaa! lakini I feel so sad, its like I cant let him go! any help to overcome this please.
 
pole ni kawaida tu hayo 'maumivu'
kwa sisi wanaume huwa tunaumia kwa kuhisi 'tulipaswa kuwa makini kuchagua'
au kuona 'mabadiliko' mapema....
tunaumia kama ambavyo unaumia mwizi akija kwako na kukuibia 'nguo ambayo huivai'....
na pengine ulitaka kumpa mtu....unaumia tu...
 
Pole sana,huna haja nae kabisa kwannavyo elewa mimi nikua humtaki tena unalako na yeye ana lake sasa mambo ya u cant let him go inahusu nini? mme achana sababu tabia zenu hazi waridhishi nyie wenyewe na mkaamtua naiwe basi,au unamanisha wewe bado kisebu sebu?
 
pole ni kawaida tu hayo 'maumivu'
kwa sisi wanaume huwa tunaumia kwa kuhisi 'tulipaswa kuwa makini kuchagua'
au kuona 'mabadiliko' mapema....
tunaumia kama ambavyo unaumia mwizi akija kwako na kukuibia 'nguo ambayo huivai'....
na pengine ulitaka kumpa mtu....unaumia tu...

duh my dear unaniongezea maumivu... pengine huwa nawaza mie ndio nilikuwa nguo ninaependwa kuvaliwa popote, sasa sina thamani... loh it hurts so bad!
 
[/COLOR]Pole sana,huna haja nae kabisa kwannavyo elewa mimi nikua humtaki tena unalako na yeye ana lake sasa mambo ya u cant let him go inahusu nini? mme achana sababu tabia zenu hazi waridhishi nyie wenyewe na mkaamtua naiwe basi,au unamanisha wewe bado kisebu sebu?

ndio hapo na mie nashangaa, kwa kweli sina haja nae baada ya hayoyaliyotokea kwenye relationship yetu, lakini kama naumia roho sana kila akikatisha machoni... sijui km na wengine huwa wanapata feelings kama hizi? ila sidhani kama bado nampenda, amenifika kooni haswaa
 
duh my dear unaniongezea maumivu... pengine huwa nawaza mie ndio nilikuwa nguo ninaependwa kuvaliwa popote, sasa sina thamani... loh it hurts so bad!
[h=1]There is nothing either good or bad, but thinking makes it so" - Shakespeare [/h]
 
Nilikuwa na mpenzi tulipenda sana, lakini kwa muda sasa mambo yamekuwa hayaendi sawa kabisa, amenipitisha kwenye mambo mengi magumu na tumechokana na tumeamua kuachana kwa kweli sina haja nae kabisaaaa! lakini I feel so sad, its like I cant let him go! any help to overcome this please.
Sasa kama hali imefikia hapo unataka msaada gani tena?
Heshimu mawazo yako, na tafuta mungine broda!
 
It's ok to feel bad... Si mmekaa sana? Kuachana ni failure, hata kama mmekubaliana. Ila ni a new start pia. Usiangalie nyuma, angalia mbele. what do you want to do now? kuendelea kujiskia vibaya even after the break or kuanza kufurahia your newly recovered individuality? Kuna vitu ulikua unafanya/haufanyi kwa sababu yake, it is time to find out kama unataka/hutaki kuvifanya. Just become yourself again... and meet new people, new friends!
 
Nimekumbuka hii ' I don't feel bad when I see my ex with someone else, coz my mom taught me to share my old toys with the less fortunate'
Halafu fikiria hii, wakati mwingine nothing is good enough even though they say less is more!
 
Thanks hun, am trying, na kwa kiasikikubwa nimeweza ila nikimuona its like there is something still bound us together, sijui nini lakini.... siwezi kueleza hasa na kumbe hata yeye akiniona anajaribu kunikwepa lkn hataki watu waliokuwa wanajua relationship yetu wajue kama hatuko pamoja akiulizwa kuh mimi anajibu asif tupo pamoja!
 
Nimekumbuka hii ' I don't feel bad when I see my ex with someone else, coz my mom taught me to share my old toys with the less fortunate'
Halafu fikiria hii, wakati mwingine nothing is good enough even though they say less is more!

oh my my... nimekusoma mzee loh nimecheka kwa uchungu!
 
Pole sana usihangaike au kuchakarika kutafta mwingne kwa sasa..jitulize kwanza manake utaweza kuingia mkenge kutfta mtu ukakuta ni balaa kuliko wa kwanza nae utamuacha mwisho wa siku utakuta unachakachuliwa tuuuu na bado usipate mtu wa maana...ukifika hapo utaanza kuwa mzinifu na kupoteza mkondo wa maisha..now tulia manake sisi wanaume huwa tunapenda sana wadada kama wewe wenye wakati mgumu tunajifanya kujali tukipiga mashine tu wai...simu haipokelewi tena..watch out..
 
asante kwa kuwa muwazi, ni kweli wengi wakiachana na wapenzi wa awali wasipokuwa makini huangukia pabovu zaidi nakujiletea maumivu ya moyo na ht kuharibikiwa kimaisha ya mapenzi
 
Back
Top Bottom