Kwanini fisi tu ndo hutumiwa na washirikina kama chombo cha usafiri ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Mnyama fisi ana majukumu mengi sana yaliyopitiliza.

Wachawi wanampenda sana fisi hasa kama chombo cha usafiri. Katu hawatumii wanyama wengine kama simba, mbweha, ng'ombe, punda n.k!

Kwanini wanamtumia fisi tu kwenye safari zao za ndani na nje ya nchi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fisi ana mbio sana na hachoki kirahisi fisi anaweza kukimbia usiku kucha bila hata kupumzika lakini ndiye mnyama pekee anayeweza kufanya safari zake kwa kufuata njia.
Na kuweza kuzuia harufu yake isitoke lakini pia anafugika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umejuaje?thibitisha Kama fisi anatumika na wachawi kuliko wanyama wengine,wewe ni miongoni mwa watumiaji was fisi?kama sio umejuaje?
 
Back
Top Bottom