Kwanini Dr Slaa akisafiri ofisi anamwachia Victor Kimesea, majukumu yake anamwachia Mnyika?

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
18,949
4,633
Ndugu wanajamvi naomba mnisaidie kwa yule anayejua kwa nini Dr Slaa akisafiri ofisi humwachia mkurugenzi wa utawala ndugu Victor Kimesea lakini majukumu yote ya kiutendaji huachiwa Mnyika.

swali langu la msingi kwa nini anayeachiwa ofisi asiachiwe na majukumu yote ya Slaa kiutendaji au anamapungufu gani kwenye utendaji mpaka aachiwe ofisi pekee bila majukumu.

Lakini pia kwa nini Dr slaa hamwachii msaidizi wake kwa maana ya naibu katibu mkuu kijana aliyeaga kwao Zitto kabwe au naye ana nini?
 
Ndugu wanajamvi naomba mnisaidie kwa yule anayejua kwa nini dr slaa akisafiri ofisi humwachia mkurugenzi wa utawala ndugu victor kimesea lakini majukumu yote ya kiutendaji huachiwa mnyika.

swali langu la msingi kwa nini anayeachiwa ofisi asiachiwe na majukumu yote ya slaa kiutendaji au anamapungufu gani kwenye utendaji mpaka aachiwe ofisi pekee bila majukumu.

Lakini pia kwa nini dr slaa hamwachii msaidizi wake kwa maana ya naib katibu mkuu kijana aliyeaga kwao zitto kabwe au naye ananini?

Zitto yupo buzy kushirki na Usalama wa CCM kuuangamiza upinzani na JJ Mnyika yupo busy katika kuwakomboa waTanzania dhidi ya mafisadi na wanausalama wa CCM... Najua umepata jibu....
 
Mkuu anaitwa KIMESERA na siyo KIMESEA
 
Victor Kimesera ni moja ya watendaji wakuu wa chama. Kwa taarifa yako Kikwete anamgwaya sana Kimesera
 
Unafaa kuwa KATIBU MWENEZI KIVULI wa CHADEMA. Maana inaonekana unafahamu safu nzima ya uongozi wa CDM kuanzia kwenye KATA hadi TAIFA.
 
Mantling ya Zito anafanya mnyika hii ni zarau sana kwa Zito nae hajitathmin Zito jinsi anavyozarauliwa?
 
Zitto yupo buzy kushirki na Usalama wa CCM kuuangamiza upinzani na JJ Mnyika yupo busy katika kuwakomboa waTanzania dhidi ya mafisadi na wanausalama wa CCM... Najua umepata jibu....

aiseee babayangu nimecheka sana bado kidogo nipaliwe na mbege yewiiiiiii
 
Jambo kubwa la kujiuliza kwa nini ofisi aachiwe victor halafu majukumu mnyika hiki ni kitu gani sikielewe.
 
Ndugu wanajamvi naomba mnisaidie kwa yule anayejua kwa nini dr slaa akisafiri ofisi humwachia mkurugenzi wa utawala ndugu victor kimesea lakini majukumu yote ya kiutendaji huachiwa mnyika.

swali langu la msingi kwa nini anayeachiwa ofisi asiachiwe na majukumu yote ya slaa kiutendaji au anamapungufu gani kwenye utendaji mpaka aachiwe ofisi pekee bila majukumu.

Lakini pia kwa nini dr slaa hamwachii msaidizi wake kwa maana ya naib katibu mkuu kijana aliyeaga kwao zitto kabwe au naye ananini?

Sielewi vizuri, lakini kuna za chini chini kuwa hawa watu wawili wako karibu sana na MSHUMBUZIA,sasa ni ukaribu gani ndo hapo sijajua bado niko kwenye kudodosa dodosa.
 
Mantling ya Zito anafanya mnyika hii ni zarau sana kwa Zito nae hajitathmin Zito jinsi anavyozarauliwa?
Ni kweli mkuu ndiyo maana mimi kila nikijiuliza sipati majibu yani inaingiaje akilini majukumu ya zito ayahudumu mnyika hii dharau kwa zito au kachuja katika siasa.
 
Ndugu wanajamvi naomba mnisaidie kwa yule anayejua kwa nini dr slaa akisafiri ofisi humwachia mkurugenzi wa utawala ndugu victor kimesea lakini majukumu yote ya kiutendaji huachiwa mnyika.

swali langu la msingi kwa nini anayeachiwa ofisi asiachiwe na majukumu yote ya slaa kiutendaji au anamapungufu gani kwenye utendaji mpaka aachiwe ofisi pekee bila majukumu.

Lakini pia kwa nini dr slaa hamwachii msaidizi wake kwa maana ya naib katibu mkuu kijana aliyeaga kwao zitto kabwe au naye ananini?

Mkuu, Rais mtarajiwa hawezi kumuachia Rais mtarajiwa mwenzake ofisi
 
Ni kweli mkuu ndiyo maana mimi kila nikijiuliza sipati majibu yani inaingiaje akilini majukumu ya zito ayahudumu mnyika hii dharau kwa zito au kachuja katika siasa.

ZITTO ni international figure, hawezi kuvaa viatu vya watu wa kaskazini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom