Billal Saadat
Senior Member
- Nov 30, 2022
- 169
- 356
Mikakati mingi sana inapangwa bila Salum Mwalimu kuhusishwa amekuwa mpokeaji wa mambo au kuyasikia kwenye mitandao kama wengine, kurudi kwa Dkt Slaa kamati kuu ikae muamue lisiwe swala la mtu mmoja pekee. Naibu katibu Mkuu apewe nafasi.
Mbowe anawapigia simu kila mtu aongee kama amekula Pesa mwenyewe si kila mmoja aongee CHADEMA nyinyi ni chama cha Demokrasia waacheni waliokaa kimya siyo wasaliti kama baadhi yenu mnafahamika wapi mnatoa Pesa.
Timu ya Mbowe kamati kuu ni hawa (Lema, Heche na Msigwa) Mnyika bado ni Neutral haelewi Dkt. Slaa akirudi atakuwa nani maana anataka kuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia nafasi ipi…? Mauzauza ndani ya Chadema Dkt. Slaa mapendekezo yake aingie kwenye vikao kamati kuu.!
Msisitizo wa Lissu kuwa Dkt Slaa aombe msamaha hadharani kurudi CHADEMA kama alivyokituhumu chama katika mikoa yote ambayo ni ngome yao. Huu ni mtego mgumu kwa mahasimu hawa wawili wa miaka yote ndani ya CHADEMA chanzo ntawaeleza Kwanini.
Ule mkutano wa Buliyaga ulipangwa na Dkt. Slaa ukabebwa na CHADEMA kwenye maandalizi yote fungu walipewa la kutosha bahati mbaya wakaangukia pua.