Kwanini CHADEMA isifutwe???

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Binafsi nachukizwa na hali inayoendelea Tanzania ya machafuko yanayotokana na maandamano na vurugu za kisiasa(CHADEMA)
Nikitolea mfano wa mauaji yaliyotokea jana Iringa kwa kumpoteza mwandishi wa habari.......kwa upeo wangu mdogo naona kwamba hili lingezuilika ikiwa kama wananchi na wafuasi wa CHADEMA wangetii amri ya police hili lisingetokea.
Nadhani JK alitangaza zoezi la sensa kuendelea mpaka tar08 mwezi huu,sasa ilikuaje mpaka CHADEMA wakakaidi amri hii?
Kwa hili mie napendekeza hiki chama(CHADEMA)kifutwe na wanasiasa wake wanaonyesha kutokuwa na uzalendo wafungiwe kujihusisha na siasa milele.
Huo ni mtazamo wangu tuu masela msijenge chuki.
 
Hii forum sio ya wasela! Ujinga ujinga peleka fb.
 
Hapo kwenye 'redi' umemaliza kila kitu, hatuna cha kuchangia tena maana hamna sababu kuwa na mjadala na machizi
 
Inaonyesha ni jinsi gani watz tusivyo na shukurani kwa wazazi wetu,yani mzazi kakulea leo umekua unaanza kumkashifu.Ama kweli ni laana inayotutafuna sasa kwa vifo vya M4C!!
 
Ni heri ungesema lifutwe jeshi la polisi, utendaji wao hauna tija sana kwa sasa.
 
Nadhani unawasilisha hoja kwa hao masela wako.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kibaraka mkubwa wa Riz one pumbavu kabisa........ubwege.......... peleka WAMA HUKO KWA MAMA SALMA NA MEMBE WENU....MNGESEEEEEEEEEEEEEE
 
Binafsi nachukizwa na hali inayoendelea Tanzania ya machafuko yanayotokana na maandamano na vurugu za kisiasa(CHADEMA)
Nikitolea mfano wa mauaji yaliyotokea jana Iringa kwa kumpoteza mwandishi wa habari.......kwa upeo wangu mdogo naona kwamba hili lingezuilika ikiwa kama wananchi na wafuasi wa CHADEMA wangetii amri ya police hili lisingetokea.
Nadhani JK alitangaza zoezi la sensa kuendelea mpaka tar08 mwezi huu,sasa ilikuaje mpaka CHADEMA wakakaidi amri hii?
Kwa hili mie napendekeza hiki chama(CHADEMA)kifutwe na wanasiasa wake wanaonyesha kutokuwa na uzalendo wafungiwe kujihusisha na siasa milele.
Huo ni mtazamo wangu tuu masela msijenge chuki.

CDM ni chama cha amani na hakiwezi kufutwa. Ifuteni SSM ambayo ndilo chimbuko la migororo, fujo na mauaji. SSM ni kandamizi la demokrasia. Sijaona mahali hata siku moja CDM wameleta fujo!!! Polisi wa Chama cha Maujai ndiyo wanasababisha fujo wakishirikiana na wale mamluku wa SSM ndani ya CDM!!! Kwa hiyo kama tunataka demokrasia Tanzania ni lazima SSM ifutwe na mwenye nguvu ya kuifuta ni wapiga kura. Elimu kwa wapiga kura ni muhimu na SSM inaogopa CDM kuwa sasa inafundisha elimu safi ikiwemo kupata wanachama. Badala ya SSM nayo kutafuta mbinu ya kutandaa ambayo ni salama wao wanatumia nguvu ya mauji na vitisho.
 
ngojawe nupeop mdogo kama wewe watakuja mbadilishane mawazo
 
Great!
 
Utulivu na amani ya kweli vitatawala Tanzania mara CCM itakapofutwa! Tendwa zingatia maadili na professionalism ya kazi yako!!
 
Back
Top Bottom