Kwanini CCM inaogopa sana Kuanzishwa kwa Chama Kipya wakati tuko kwenye Mfumo wa Vyama vingi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,011
142,044
Kimsingi CCM haiviogopi kabisa hivi vyama vya Upinzani vilivyopo akina Chadema, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi, CUF nk

Ila CCM hupatwa na mchecheto pale inaposikia akina Mdude Wanataka kuanzisha Chama cha Siasa au ile iliyoogopwa sana Umoja Party

Sijajua kwanini CCM wanaidharau Chadema na kukihofia Chama cha Mdude?
 
Kimsingi CCM haiviogopi kabisa hivi vyama vya Upinzani vilivyopo akina Chadema, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi, CUF nk
Nikikutukana watanifungia,. Kumbe una akili 1/64...means you can not make a well reasoned and rational judgement!
sasa kama CCM haiogopi chadema in particular,
1. matumizi a dola ie polisi, TISS ya nini?
2. kwanini unakataa tume huru ya uchaguzi?
3. Kwanini unakataa katiba mpya inayomwodolea Samia/CCM ufalme na Umungu mtu?
4. Kwanini unazuia akima mwabukusi/slaa/mdude kufanya kongamano!
 
Back
Top Bottom