Kwanini CCM haijawahi kuwatumia waimba Quaswida kwenye shughuli zake, lakini huwatumia waimba Gospel?

Tumeshuhudia Mara lukuki CCM wakiwatumia wanamuziki wa Gospel kwenye shughuli zake mbalimbali, mfano, Kwaya ya AIC Makongoro Mwanza, Emmanuel Mbasha, Florah Mbasha, Rose Mhando etc , lakini haijawahi kuwatumia waimba Quaswida licha ya kwamba wapo wengi na wanaimba vizuri Sana.
Je wana chuki? Ni lini watakoma tabia hiii? Leo tunataka vijana wetu wapewe nafasi tumechoshwa na wapigwa mitama
Tuanze kukuliza wewe kiarabu wakijuwaaaaa ,uliona wapi!?uliona wapi!?uliona wapi!?
 
Tumeshuhudia Mara lukuki CCM wakiwatumia wanamuziki wa Gospel kwenye shughuli zake mbalimbali, mfano, Kwaya ya AIC Makongoro Mwanza, Emmanuel Mbasha, Florah Mbasha, Rose Mhando etc , lakini haijawahi kuwatumia waimba Quaswida licha ya kwamba wapo wengi na wanaimba vizuri Sana.
Je wana chuki? Ni lini watakoma tabia hiii? Leo tunataka vijana wetu wapewe nafasi tumechoshwa na wapigwa mitama
Kwa sababu shughuli zao ni za kishetwani shetwani
 
Hao watakuwa waislamu wa zamani, mbona hela za wakatoliki zilizotokana na mauzo ya kitimoto wamezikubali kupokea kwenda kujengea msikiti.
Waislam wa Chamwino wamegoma hawatakaa waende kuswali Masjid-Bikira Maria bin Immaculate,
Wanasema hela za kitimoto na bia haziwezi kujenga msikiti,
 
Ulishaona kwenye burudani imepigwa kaswida? Sasa watu watachezaje kaswida kwenye mikutano inayotaka hamasa.
Hivi ukiipandisha nyimbo ya kaswida halafu ukapandisha nyimbo ya kusifu ya kilokole Ipi itaamsha?
Hata club siku hizi wanapiga gospel lakini hawapigi kaswida kwasababu ni nyimbo nzuri ila zisizo na amshaamsha zaidi ya ujumbe.
Hivyo tatizo sio dini bali ni mahadhi ya nyimbo na sehemu zinapopigwa.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
sisi washabiki tunapenda kucheza kaswida ila mataga mnatutenga na nia yenu ni kuutokomeza Uislam na kubadili misikiti yetu kuwa sunday school kama alivyotamka kada wenu wa CCM Kafir Gwajima.
 
Uchochezi wa kidini haujawahi shinda mahala popote duniani!
Ila kufunga masheikh na waumini wa kiislamu kwa makosa yasiyoletewa ushahidi vimepata kushinda duniani au sio?
Kuanzia utawala wa Tanu masheikh wenye kutaka na kuisema haki wamekuwa wahanga mpaka leo.
Historia itatuhukumu
 
Back
Top Bottom