Mujumba
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 853
- 306
Mchungaji alikuwa anafanya harambee ya ujenzi wa kanisa,waumini wakatoa jumla ya 75,000/=.wakaja watekaji wakateka kanisa na wakachukua fedha zote waumini walizokua nazo na wakapata jumla ya 8milion na wakampa mchungaji afanyie ujenzi huo,sasa cha kujiuliza kwanini hawa watu walibaki na pesa zote hizo mfukoni(It is based on true story)