Kwanin baadhi ya maneno ya kiswahili hayaandikwi kama yanavyotamkwa???

Chiya Chibi

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
484
110
Naomba nisizunguke sana waungwana, kuna jamaa zangu wamepata wagen kutoka kule wabongo wenzetu walipoficha Fedha na wameamua wajifunze kiswahili kwa huu muda wataokuwa nchini. Sasa kuna maneno yamewatatiza sana na hata sis wenyeji imetutatiza pia, nadhan inatokana kusoma masomo mengine (sayans) kuliko lugha yetu.

  1. Kwanin 'a Dog' iandikwe MBWA badala ya MMBWA??
  2. Kwanin 'Outside' iandikwe NJE badala ya NNJE??
  3. Na kama hivyo ndivyo kwanin 'country, iandikwe NCHI badala ya CHI??
 
Ni makosa yaliyofanywa na wa2 walifanya mchakato wa kusanifisha lg. Ikumbukwe kua waliosanifisha lg hii walikua co waswahili kwan kisw kilisanifishwa enz za wakolon kwa mara ya kwanza. Matamshi mengi ya nazali yanayoanzia na m&n yanavyotamkwa ndivy cvyo na yanavyotamkwa.
 
jamani mie hapo sipo kabisa, issue za lugha bwana ni nomaaa, ukishajua kuomba maji ya kunywa basi inatosha...ngoja nilale
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom