Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,478
- 3,357
Kwa muda usiopungua siku tano sasa mtandao wa Airtel umesababisha usumbufu mkubwa kwa baadhi ya watumiaji wake. Simu za mtandao huo hazitoki na sanasana mteja unaweza ukaambiwa namba unayopiga haiwezi kuunganishwa kwasasa
Wateja wanahangaika na mawasiliano hamna. Vifurushi vyenu vinakata maratu muda unapokwisha bila hata kutumika kutokana na tatizo la kimtandao. Hii sio sawa.
Nikaona niulize au Airtel imeathiriwa na oparesheni ya kijeshi inayoendelea Ukraine? Au mawasiliano yao yamepata mtikisiko kwa maana kwamba ndio chanzo chao kikuu cha mawasiliano huko?
Airtel kama nitimu yenu ya ufundi iliyopo,kazi imewaelemea ongezeni nguvu kazi.
NB. Angalieni utaratibu wa kuwafidia wateja wenu siku ambazo mtandao wenu umesinzia na mawasiliano hayakuepo
Airtel poleni kwa kuathiriwa na oparesheni ya kijeshi inayofanywa na Urusi dhidi ya Ukraine