Kwani mie sio mtanzania au!

ngomicom

Senior Member
Jul 6, 2012
123
19
Ndugu zangu, juzi niliposti ombi langu la patch/ key ya internate adownload Manager (IDM) lakin kimsingi sijapata taarifa yoyote toka kwenu. Tafadhalini sana siku ilobaki kwangu ni kesho, naomba msaada wenu wadau ili nami niendelee kuwa sehemu ya utandawazi. Naachia e-mail address yangu ili kufanikisha kunitumia, ngomicom2004@yahoo.co.uk,:sleepy: Mungu awabariki sana

 
Back
Top Bottom