Kwani kuna maumivu au mateso mwanamke huyapata wakati wa uchakatwaji?


Sio kweli! Labda asiwe mwanamke!
Mimi ni mwanamke na ndio nakuambia sasa, nyie mnafikiri ni pesa tu muda wote we hujawahi ona mwanamke ana mume ana mkwanja ila analiwa na shamba boy? Unafikiri huwa inakuaje kuaje??
 
Kuna manzi nimeichapa jana leo haijibu meseji kisa sijampa hela ya boda
 
Back
Top Bottom