Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,166
- 4,581
Kushinda uchaguzi sio kigezo kuwa unakubalika.
Kiongozi madhubuti hukubalika kwa kulinda rasilimali za taifa lake, kutetea raia wasionewe hovyo na kudhibiti dhulma.Pia Kudhibiti ufisadi.
Kura huwa zinaibiwa na kuchakachuliwa kila kukicha.
Je, uchaguzi wa 2010? Mmesahau aliyeshinda alikiri kushinda kimazabe. Mbaya zaidi akabaki kuusingizia waraka wa katoliki.
Mnatakiwa kukubali kuwa hakubaliki