Kwangu mimi Jumamosi ni njema! vipi wewe?

Mabagala

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
1,477
325
Kwangu ni nzuri maana nipo ndani tu natafakari wiki imeishaje. Kawhisky kwa mbali, kula na mziki wa jamaica! Karibuni kama kwako weekend haiendi endi.
 
Back
Top Bottom