Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 479
- 1,253
Mimi nashangaa sana serikali inapambana kuhusu suala la maadili kimaeneo jambo ambalo haliwezi kufanikiwa hata siku moja
Gwajima na Mkenda mnasahau kuwa serikali ni mvurugaji wa maadili ya jamii kama ifuatavyo
1,Vyombo vya habari hasa Television ni njia kuu ya kuharibu maadili ya Taifa,ukiangalia kutwa nzima miziki inayopigwa kwenye Chanel za Television hata kama umekaa na wanao unaanza kugomba mnaweka Chanel gani ambazo zinaweka miziki ya ovyoooooooo,miziki yote inayopigwa huko wanawake wote wapo nusu uchi na kunyonyana ndimi , na maudhui yake sasa na serikali ipo tu inangalia , na watoto ni wazuri sana wa kujifunza kwa kuona kuliko kusikia
2,Matangazo ya nguvu za kiume mchana kabisa huku watoto wamekaa wanaangalia, mnategemea nini, yaani Gwajima anategemea maadili yawe mazuri
3,Mada za mahusiano na mapenzi kwenye Television,yaani kuna Chanel zina vipindi vya mapenzi na mahusiano mchana, wanatangazaji wanajadili mapenzi mchana watoto wanaangalia halafu Gwajima udhibiti ukatili wa kijinsia
4,Movie zinazorushwa kwenye Chanel za Television nazo ni shida,wananyonyana ndimi, mikumbatiano,mara wanaingia chumbani wanataka kusex, wananyonyana na kuanza kuvuana nguo ndo wanacut hapo hata chekechea ataelewa kilichoendelea licha ya kucut
Asilimia 90 ya maadili ya watoto yanavurugwa na Vyombo vya habari hasa Television, ukizima Tv watoto majumbani hamtaelewana na huwezi ukawa mlinzi nyumbani kuangalia watoto wanaangalia chaneli zipi
Nasema mmewaonea walimu