Ikwanja
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 2,082
- 581
Hivi ikulu yetu na hawa akina Salva na hili la kutumia email ya yahoo nalo lipo mahakamani? nasema hayo kwa maana sasa hivi hawa magamba kila kitu ambacho hawajatekeleza sababu inakuwa ni kuwa kwa sababu suala hilo lipo mahakamani. Sasa nauliza na hili nalo lipo mahakamani??????