Kwahiyo Rais Magufuli anataka Maiti zianze kuvalishwa Gloves, Masks, protective glasses na boots?

H.T.P

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,169
1,298
Amesema maiti zivalishwe PPE kisha zisafirishwe hebu wataalamu wa haya mambo nisaidieni huyu Mh wetu hapa anamaanisha nini?....Je mimi ndo sielewi au yeye ndio anazidi kutuonyesha jinsi gani haelewi mambo anayojipambanua kuyaelewa kwa undani?

Kama ameweza kutamka tu bila kufikiri, kwamba Danieli alikua kwenye tumbo la samaki na kwenye tundu la moto,je hawezi kutamka neno lolote hata lenye madhara bila kufikiri??? Kama unauelewa nisaidie kunipanua akili...KAMA UNAJIJUA WEWE NI KOPO TUPU, lala tu usijihangaishe hii mada haikuhusu.
 
Amesema maiti zivalishwe PPE kisha zisafirishwe hebu wataalamu wa haya mambo nisaidieni huyu Mh wetu hapa anamaanisha nini?....Je mimi ndo sielewi au yeyendo anazidi kutuonyesha jinsi gani haelewi mambo anayojipambanua kuyaelewa kwa undani?

Kama Ameweza kutamka tu bila kufikiri, kwamba Danieli alikua kwenye tumbo la samaki na kwenye tundu la moto,je hawezi kutamka neno lolote hata lenye madhara bila kufikiri??? Kama unauelewa nisaidie kunipanua akili...KAMA UNAJIJUA WEWE NI KOPO TUPU, lala tu usijihangaishe hii mada haikuhusu.
Mkuu unashangaa nini NADHANI unavyoelewa wewe ni hivyo umesahau Mara ya mwisho alisema famigesheni ni kwa ajili ya kuua viroboto vya mbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom