Kwahiyo LATRA kuyafungia Mabasi 37 ya 'New Force' ndiyo kutamaliza Ajali za Mabasi Tanzania nzima?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,033
Yaani Wafanyakazi wote wa LATRA ndiyo mna aina hii ya Ubongo mbovu uliowapelekea nyie kuja na Maamuzi haya ambayo GENTAMIYCINE sioni Aibu kuyaita ni ya Kipumbavu huku yakiwa yamejaa Chuki, Visasi, Wivu na Uonevu?

LATRA mbona hamyachukuli hatua Mabasi ya Tajiri Mkongwe wa Mkoani Morogoro ( na mwana Simba SC Mwenzangu ) ambayo huwa yanaanguka, yanaua na yanasumbua sana Abiria ila huwa anawahi Kuwahongeni kuanzia nyie, Matrafiki, Waandishi wa Habari wasiripoti huku Wahanga wa Ajali ( Abiria ) wakinyamazishwa kwa Kutibiwa Kisiri na kupewa Pesa ili tu Kampuni yake isichafuke?

LATRA niendelee kutoa Mifano mingine juu ya Unafiki, Chuki na Uonevu wenu juu ya baadhi ya Makampuni ya Mabasi nchini Tanzania au kwa sasa niishie tu hapa?

Hivi kwa Watu wenye Akili timamu kabisa na Wameenda kweli Shule wanaweza Kujisifia mbele ya Watu wenye Akili Kubwa kuwa Kufungia Mabasi ndiko Kutamaliza Ajali za Barabarani?

Hovyo kabisa...!!
 
sasa hayo mabasi ya new force si mchina mwekezaji? au hajakata posho kwa wakuu?
 
Wamefanya vizuri ili wengine wajifunze.
 
GENTAMIYCINE Tuliza bange zako kwanza, tuko kwenye issue muhimu ya bandari.
Tunaomba utulivu inawezekana hata barabara zimeuzwa kwa wajomba zetu.

Ukikosa uvumilivu soma hapa utekeleze 👇
 
Attachments

  • 75FD774A-7C07-4EAC-BA84-910B76A162B9.jpeg
    75FD774A-7C07-4EAC-BA84-910B76A162B9.jpeg
    94.3 KB · Views: 3
Nilikuwa najiuliza kila siku hivi mmiliki wa newforce ni nani?Hana uongozi thabiti?inakuwaje magari yake yanachezewachezewa tu hovyohovyo Hana uchungu nayo?Kumbe ni ya Mchina!basi saw
 
Back
Top Bottom