Kwa yaliyomkuta Dr. Mwakyembe ni wazi kuwa tulidanganywa kifo cha Dr. Balali

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Sasa naamini kuwa mafisadi wana nguvu.

Kwa sarakasi tunazopigwa na serikari ya JK na viongozi wa chini yake ni waongo sasa naamini kuwa kuanzia ugonjwa wa Dr. Balali hadi kifo ni senema wanazocheza mbele ya Wadanganyika.

Kwa mfano JK,Pinda,Makinda,Manumba nk wore ni sarakasi hakuna anayesema ukweli wote ni vigeugeu na tusahau hata siku moja kuwa watajiuzuru Kama wananchi ni njia gani tuitumie ili kuwawajibisha?
 
sijawahi ona maiba wa mtu maarufu kama balali kwamba hata katika picha usionyeshwe.kweli tumepumbazwa.na aliyetuloga watanzania kafa.
 
kwani mwakyembe amekufa??
 
Yule jamaa anayependa kusafiri safiri alimwita Balali siku moja Magogoni, sijui kilichoongelewa ila ilikuwa ni very private meeting, Othman, Zoka na vigogo kadhaa wa CCM walikuwepo. Alipotoka kwenye hiyo meeting, "hakuonekana tena" mpaka "kifo chake".
 
walisema alikufa kwa ngoma, naye aliacha ujumbe kuwa walipanda ndege na Rostam akampa kitu chakula baada ya hapo walipofika nairobi akaanza kuumwa. Aliamua kwenda USA ndio wakamwambia amelishwa sumu kali
 
wewe bado unaamini serikali ya Jk?wenzako tulishaacha hata kusumbuka na sarakasi za kila leo.Tunasubiri 2015 tuipunish ccm
 
Watanzania ndugu zangu tunaoweza japo kuingia kwenye JF tusipende kuongea bila matendo. I think its prime time to act, tuwafanye wale ambao hawana awareness wapate, tuanze zoezi hili kwa nyumba; ndugu kwa ndugu; mtu kwa mtu; familia kwa familia. I hope kwa kufanya hivi tutakuwa tunalisaidia Taifa, instead of keeping complaining while the country heads to unknown place. Words without actions especially to a person who does not even leasen to you is hopeless. Lets act tuache kuwa Taifa la walalamishi from the TOP to grassroots.
 
tunakuza mambo pasipo sababu ya msingi ya Dr Bilali yamefikaje hapa? ni kuongeza chumvi mwishowe chakula hakitalika.
 
sijawahi ona maiba wa mtu maarufu kama balali kwamba hata katika picha usionyeshwe.kweli tumepumbazwa.na aliyetuloga watanzania kafa.

Mie sijalogwa!!Nina akili zangu timamu na ndio sababu sijaamini!!Kwa hili la Dr Bilali ntakuwa Tomaso tu!
 
Back
Top Bottom