Kwa watumiaji wa pombe, ipi ndio chaguo lako!

Kilimanjaro ndogo za buku jelo yan nikiwa na buku 10 nachafua meza, ila nikitaka kushika moto haraka napiga jb au jd
 
Za wazungu big no. Hapa mwendo wa cocktail ya gongo+lubisi pamoja na limao kidogo
 
bia -serengeti premium lagar/lite

whisky- jameson

wine-robertson/penasor

Rum-captain morgan

sitoki nje ya hizo... itadepend nipo wapi na nna mood gani ila hizo ndio vitu zangu
 
Unaelewa maana ya Mbandandu au umesikia hilo neno ukaamua kulitumia?
"Mbandandu" niliyoiandika hapa ni kilevi tunachotumia huku kwetu, kama kuna definition nyingine ya mbandandu unayoijua wewe basi haihusiki na nilichokiandika hapa.
 
Back
Top Bottom