Kwa wasiomjua BENJAMIN MKAPA, tafadhali soma hapa!

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
690
350
(1). Hana upendo kwani aliua maelfu ya wazanzibar ktk machafuko mara baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2000. Na akasababisha wakimbizi hadi leo wapo kule Mogadishu tangu septemba 2001. Hakika alifanya unyama wa kutisha aliamuru raia wauawe na wateswe ktk mitaa mbalimbali walioko Darajani na Mtendeni mashuhuda kwa hili (SOURCE: BBC SWAHILI, Daud Aweis, BBB-Nairobi, octoba 11, 2011) (2).

Ni mwongo, mtu wa visasi na mnafiki: Alimvua uraia "rafiki yake" Jenerali Ulimwengu ambaye alimpigia kampeni ktk uchaguzi wa mwaka 1995, wakati akipambana na Mrema. Licha ya jenerali ulimwengu kuwahi kuwa mkuu wa wilaya na kiongozi wa UVCCM akamtuhumu kuwa si raia wa Tanzania.

Kesi yao ilimalizwa mwaka 2003 kule Addis Ababa kwenye kikao cha OAU(sasa AU) ambapo wakuu wa nchi wanachama walibaini "Mr. Clean" mwongo na "mchapa majungu".

(3). Akauza kwa rafiki zake au kujiuzia mashirika yote ya UMMA na hatimaye akayaua, na mengine kama NBC akauza kwa "bei ya jioni" yaani nusu bure tena hadi leo wale makaburu hawajalipa deni lao.

(4). Akauza Kilimanjaro hotel kwa "wadau wake wa maendeleo watatu" tukalazika kulipa fidia kwa wale wawili tuliowafanyia "uhuni". Huyu ndie mwokozi na msafi aliyetumwa na CCM kuwaokoa kule ARUMERU.

Nawasilisha!
 
mbona hujaweka mazuri ya mkapa?
Utakuwa na chuki binafsi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Huyu ndiye aliyetoa amri ya kuwafukia wachimbaji wadogowadogo kwenye mgodi wa bulyankulu kuwapisha wachimbaji wakigeni.
 
Hivi kuna raisi au kiongozi yeyote duniani ambaye hana damu ya mtu/watu mikononi mwake?
Kwa wengi, mkapa alikuwa msafi mbele zao, ila kaharibu tarehe 12.03.2012 alipoingiza na kuiga maji taka politics.
 
Nashukuru nimeyafahamu mabaya yake, je ana mazuri yeyote? nauliza hivyo kwasababu nimepata tetesi kwamba Kikwete pamoja na ukweli kwamba anaiua nchi kiuchumi eat ana mazuri kafanya sembuse Mkapa?
 
Nashukuru nimeyafahamu mabaya yake, je ana mazuri yeyote? nauliza hivyo kwasababu nimepata tetesi kwamba Kikwete pamoja na ukweli kwamba anaiua nchi kiuchumi eat ana mazuri kafanya sembuse Mkapa?

Kila mmoja anabeba msalaba wake. makosa ya JK hayafanyi ya BWM yawe halali!!
 
BWM is my hero hata mumpake tope kiasi gani he will always shine.
 
Peleka uzushi wako kule, hili ni jamvi la GREAT THINKERS bwana mdogo! Lako tumelibaini! Kwa kifupi JK hasafishiki kwa mtindo huu!
 
Mazuri ilikuwa ni wajibu wake kuyatenda, ndio maana alichaguliwa na umma wa tanzania na Nyerere kumpigia kampeni. Tunasema ambayo alikosea kwa makusudi!!
kama ni hivyo mleta thread angeweka bayana kwamba anazungumzia mabaya ya mkapa.
Inavyoonekana mabaya ya mkapa ni machache(4) kama yalivyowasilishwa na mleta thread.ni vyema tungeweka mazuri ya mkapa ili tujue kwa ujumla alifanya mazuri au mabaya.tuanzie kwenye historia yake mpaka leo hii tuone.
Hizi ni chuki binafsi na wivu wa kitoto.

Hivi hujui kuwa kosa moja baya hufuta mazuri yote?
 
kama ni hivyo mleta thread angeweka bayana kwamba anazungumzia mabaya ya mkapa.
Inavyoonekana mabaya ya mkapa ni machache(4) kama yalivyowasilishwa na mleta thread.ni vyema tungeweka mazuri ya mkapa ili tujue kwa ujumla alifanya mazuri au mabaya.tuanzie kwenye historia yake mpaka leo hii tuone.
Hizi ni chuki binafsi na wivu wa kitoto.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

unaangalia idadi au sio mashik?
 
Cjui!bt kwa uelewa mdogo ninao,no one z perfect.Kama katiba ingeruhusu,WANAINGIA ULINGONI,nani achukue rungu kati ya aliye nalo na aliyepita!Kwa aliyepisha(NDIYOOOO..) za mafuriko.Naic yuko smart at least!
 
Inaelekea ni mtindo wa kiuandishi, huwa hakuna sababu ya kuandika mazuri. Ndege ikiruka na kutua salama siyo habari bali ikianguka. Mkapa ndiye chanzo cha tatizo la UMEME Tanzania. Aliwaogopa wafanyakazi wa Tanesco walipomuambia ana "nduguye Net-group Solutions" hasa walivyomwambia Mwaga Ugali Tumwage mboga, alizira, akaliacha TANESCO. Leo hii tanesco ni bomu. JK Akitaka ataweza tatua. GAWANYA SHIRIKA LA UMEME, UZALISHAJI, UTANDAZAJI UMEME MSONGO MKUBWA NA UINGIZAJI UMEME KWA MATUMIZI. Binafsisha shirika vizuri serikali ibaki na hisa kidogo.
 
Kama kuna zuri hata moja alilolifanya mkapa tuliishamlipa kupitia mshahara wa kila mwezi. Tena hadi leo analamba mshahara huku wezi aliowaleta wanapora rasilimali. Ndo maana alipata laana ya kuto produce
 
Back
Top Bottom