The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
- Thread starter
- #21
Si unajua malovee picha na pamba yanaenda pamoja lol!!!!#
Nakushangaa unafanya nini huku wakati wewe ni mtu wa malove love tuu
Si unajua malovee picha na pamba yanaenda pamoja lol!!!!#
Nakushangaa unafanya nini huku wakati wewe ni mtu wa malove love tuu
#
Nakushangaa unafanya nini huku wakati wewe ni mtu wa malove love tuu
Si unajua malovee picha na pamba yanaenda pamoja lol!!!!
Kumbe na wewe umeona hii hata mimi nimeshangaa TF Vs AD ni photossssss sijui kulikoni hawa jamaa
Ndo hapo nashangaa tangu lini AD na TF kwenye photossssss wakati ni watu wa malove love
Si unajua malovee picha na pamba yanaenda pamoja lol!!!!
Kule kiukweli kumepooza naona Bishanga kachangamsha kidogo kamuone basi umshauri
EMT i am still trying to find an answer for your questionIf you have noted the way men and female dress recently, whilst the men clothes are getting tighter and tighter, women clothes are getting looser. The photos above appear to just confirm this. Why this shift of trend? Is it just a fashion or something else?
Sasa kule kwenye jukwaa kumepooza sana sikuoni wewe wala AshaDii wala Mbu wana Dena wala AD yaani full kupooza
Ndo hapo nashangaa tangu lini AD na TF kwenye photossssss wakati ni watu wa malove love
Dah!!! Huku kwenye fotos mashikolo mageni lol!!!Wewe hebu rudi home bwana wazazi wanakuita nyumbani pazuri ha ha ha ha
Yah!!! Wanafanana kwa mbali
Nilidhani Mpoki wa ze comedy!! aiseee
Mkuu ngoja niku-PMThe finest
wewe ni designer au unauza nguo?
Location?
KWA DADA ZANGU
If you have noted the way men and female dress recently, whilst the men clothes are getting tighter and tighter, women clothes are getting looser. The photos above appear to just confirm this. Why this shift of trend? Is it just a fashion or something else?
Ngoja nikutafutie outing ya red carpetThis i can live with.... Inanifanya i wish ningekua na an outing....
Ngoja nikutafutie outing ya red carpet