Kwa wapenda soka wote wa soka la Bongo

Kimizaki

Member
Aug 3, 2012
5
0
Ningependa kuwashauri muache kuyumbishwa na watu wasiolitakia mema soka la Bongo kwa maslai yao binafsi badala ya kulikuza na kuliendeleza kwa dhati,tuanze na viongozi wa vilabu haswa Simba na Yanga,wao kama viongozi kwa sasa asilimia kubwa hawana mapenzi ya dhati na vilabu wanavyoviongoza na wala hawana haja ya kuisaidia nchi isogee mbele ktk maendeleo ya soka na wachezaji wao ila akili zao kwa asilimia kubwa kujinufaisha wao na familia zao,upande wa chama cha soka yaani TFF,naweza kusema madudu yote yatokeayo ktk vilabu wao ndio wapishi wa hayo matokeo mabovu ya viongozi wasio wana soka na ndio chanzo kikubwa cha kudidimiza soka letu sbb wote wapo kwa maslai yao si kiliinua soka la Bongo,mifano ipo lukuki ikiwemo timu za copa coca cola hata zifanye mazuri gani lakini zikirudi zinatelekezwa,wote walio chini kisoka ktk ukanda wetu na mbali yetu sshv hatuwapati,wanahabari,nao kwa asilimia kubwa wamemezwa na hayo makundi sasa habari zao zinaegemea kwao kwa maslai ya hao waliopo Simba,Yanga na TFF madarakani,vipi mpenda soka ataweza jua ya kweli kuhusu soka kupitia habari wakati wadau wakuu wa mpira ndio hao jamaa 3?Hebu ninyi waandishi acheni hayo myafanyayo ya kuandika kwa maslai ya watu wenu na unazi wenu wapeni watu taarifa sahihi ndio mtalibeba soka la Bongo na kuondoa utumbu uliopo ktk soka,mfano halisi ss tunauona wote mnagombea uongozi ktk TFF wkt nafasi yenu kwa CV zenu ni ofisa habari leo mtendaji nae muandishi je tutafika?Ndio maana inafika wkt kiongozi wa TFF anakataa kuvaa fulana nyekundu ya coca cola aende kufungua mashindano sbb ya unazi wa timu fulani mpk anapewa nyeusi ndio anafungua HAMJAANDIKA.Chukueni taadhari soka ndio kitu chenye wapenzi wengi nchini kuliko chochote ipo saa au dakika wadau halisia wataamka mtakua ktk wakt mgumu kuliko chochote mmeona mfano wa Okwi mlivyozusha kaenda Yanga kwa maslai ya mgombea wenu mumpendae nusura muaribu amani ya wana Dar-es-salaam,leo la Mrisho Ngasa pia mnashindwa uelewa ukweli uma wa Watanzania kama kocha mkuu wa Simba anamtaka Ngasa ktk program yake na alivyorudi alilalamika baada ya kupewa taarifa hajasajiliwa,leo mnapika majungu oooh mnazi wa sehemu fulani mbona wanazi wengine hamwataji au sbb wapo huko wakubwa zenu (viongozi wa vilabu au TFF) wamefanya jhudi za kuwemo ndani ya nyumba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom