Kwa wanawake tu! Mwanaume ukiingia roho itakuchomoka!!! Shauri Yako...

unakubaliana na Mimi kwamba baadhi ya wanawake hawaridhiki na mwanaume mmoja hata kama wanaridhishwa kimapenzi?

sio kweli! SIKUBALIANIIIIIIIII! Kila shetani na mbuyu wake. Ukimpatia mwanamke anatulia tuliii kama ananyolewaaa.
 
Wanahongwa vibaya mnoooo. Lakini nyege zinazidi mwenzangu. Mambo gani ya chubwiiiiiiii. Ujue kwa nyie watu wa kasikazini mwanamke anaweza kukaa hata mwaka hana hata nyege anasaka mshiko kwa watu wa pwani wanapenda mnooo zile mambo. Ndo roho yao ilipo.

SHOGA USINIUZIE KESIII, SIJAZUNGUMZIA KUOLEWAAAAAAAA! HIO NI SENSITIVE AREA! NITAPIGWA MAWEEEEEEEE! KUOLEWA NA CHUBWIIIII MCHEZO! Hahahaaaaaaaaa! Mi simooooooooooo!

Mi naongelea vidada hivi tu vya kitaaaa.

ila tumetofautiana kama unavyosema!kama furaha yako ni gemu kali basi ruksa kua mtumwa wa hayo mambo nduguu!

kila mtu achague furaha yake
 
lara1 kwasasa dunia ilipofikia sidhani kama kuendekeza sana kuridhishwa kitandani kunasaidia!!jali basi hata watoto watakaozaliwa!!mwanaume hana mbele wala nyuma nikomae nae kisa anajua mambo!?

Mdada popote ulipo,tafuta pesa kwanza mapenz baadae,mjini heshima pesa hizo zingine mbwembwe tu,bora uwe mtumwa kwakusaka noti.

kimbley nimetumwa pesa sio nyege za kuku

Hahahaaaaaaaaaaaaaaa! NJAAndo inakufanya useme hivo, ila inafika mahala, pesa unayooo sio issu tena. Unafikiri utawaza nini hapo zaidi ya ALOSTOOOOOOOO:lol:
 
mtu kashinda ofsini anarudi hoi ili akupe maisha mazuri and all you can say ndo hicho!!! wanawake viumbe wa ajabu sana.....

unataka unifundishe kwani lectute hiyo.... na wanawake wengi wa design hii ni wanyumbani tu hawana shughuri zozote za kuwakip busy

na mi ndo maan nkasema sitakaa kuoa mianamke ya aina hii, hii ni mianamke ya mtaani isiyo na mbele wala nyuma wanaume wenzangu wenye kaz nzur na maisha mazur msioe hawa hawana shukran acha waende kwa hao wanaowataka na sis tubak na wanaotutaka
 
tuko tofauti jamani
mtu ananigea hela eti nimwache nikaolewe na mwingine kisa anapiga gem vizuri
aaaha uyo siyo mimi labda
kwani ntakula ilo gem lake ntavaa gem lake looo uko sipo kabisaaaa!!!!!!!

umeongea point maana mi nakereka na watu wanaopenda kugeneralize vitu kwa kuhoji marafik zao mitaani sijui kwa nn
binadam tunatofautiana sn muelewe, mwingine anapenda vicheche alafu anageneralize wanawake wote wako after money
 
mi nna wasiwasi na huo utafiti wako kwani mi mwenyewe npo kitaa. tuseme kweli vijana ambao wana potential kimaisha ni dili mno mtaani yaani ukiwa na kazi ya kueleweka na huku unatembelea matako unaweza kuwala madem mtaa mzima.labda ungeniambia demu awe na hyo msomi hlf awe anatoka kwa siri na hyo jamaa choka mbaya anayemkuna vizuri ! kwa hali ya maisha yetu ya kiswazi ni vigumu kwa demu kumuacha jamaa mwenye mwelekeo wa kimaisha na kudate na mtu ambae hana mbele wala nyuma sikatai km hawapo ila ni wachache sana labda kwny mia labda wapo watatu
 
lara 1 mtu shule hamna na mifuko mtupu... Atafanya nini kubwa zaidi ya kuchapa kazi hadi kieleweke. Ndio sehemu pekee anayoweza kuteka...
 
Last edited by a moderator:
na mi ndo maan nkasema sitakaa kuoa mianamke ya aina hii, hii ni mianamke ya mtaani isiyo na mbele wala nyuma wanaume wenzangu wenye kaz nzur na maisha mazur msioe hawa hawana shukran acha waende kwa hao wanaowataka na sis tubak na wanaotutaka

HAHAHAAAAAAAAAAAA! Naona unatoa tamko kabisaa kwenye chama chenu cha WAKUSOMA:lol:. Wanaowataka nyie wanataka wawachuneee tu, wanakuwa wanawaibiaaa, nyie mnahudumia afu wenzenu wanapiga miti bureeeeeeeee! Haki kweli hio?

Afu mju inabosa sanaaa, mdada unakutana na mkaka, unampeeeeeeeeeenda, anakuingia rohoni, unaweka show ya kufa mtu uonekane wife material, unajiongezaa, unajiadabishaaaa, hufanyi pupaa, unatumia mda wako kibaoooooo kujiandaa na uzinduzi. Kuja kushtukaaa ni CHUBWIIIII UNTD! Mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! Kaka mzuriii, n shule yake, na future yake namna gani tenaaaaaaaaaaaaaaaaa pale! Unasema labda kitete cha mechi ya kwanza unampa remach! Yale yale ya chatu alie vimbiwa, kajisonta juu, kajisonta chiniii. Unasemea haki mimi nina gundu si utani, nimelogwa ama nimetupiwa mikosi si buree,. Huyu chatu nampeleka wapi sasa. NI DEAL BREAKER NA HEART BREAKER KICHIZI.
 
umeonaa eeeh",hawa wanajishaua humu dakika tano nyingi kashaachia....sasa kama sikufika unataka nikusifie au nikae na ww kwa lipi kwa mfano?!..
penzi la muhuni wa kitaa ndo lenyewe...kwanza wanaona kama chance kubwa sana na inaweza isitokee tena ivo anaisugua mpaka unahisi kuita kikosi cha fire huo moto wake... akizama sasa yaan mpaka kieleweke...sio hii mijitu humu kama bata

ahahahahaha!!the smart lady una visa!ila hata kama hakufikishi muelekeze mwenzi wako nini unapenda ukiwa maeneo,tena mwambie kwa upole na vitendo zaidi sio kumsimanga!!utamu wa kitandani unaanzia kichwani kwanza kwa kuiandaa akili yako.

vyovyote itakavyokuwa usitoke kwa mwanaume ambaye mkuu lara1 amesema sifa zake hapo juu
 
lara 1 mtu shule hamna na mifuko mtupu... Atafanya nini kubwa zaidi ya kuchapa kazi hadi kieleweke. Ndio sehemu pekee anayoweza kuteka...

Umeonaaaaaaaaaaa! Shule inawalemazaaaa. Afu sio watu wote mtaani mifuko mitupu. Kuna wajasiria mali shule hawajaenda wanajenga mahote. Kwanza wenye hela sanaaa shule hawajaenda. Tuachane na hilo turudi kwa wakitaa. Hata wafanya biashara wana wapoteza wakusomaa vibaya mnooo. Hela anayo mkononi swa laki HAPENDI DHARAU! Afu lile ni jukumu lako mwanaume ujue. Kuisingizia shule hakusaidii kitu. NDO UNAKUTA MTU ANA MKE LAKINI THEY LIVE UN HAPPY NA MIMALI YAO YOTEEE. Wengne kitu hawanaaa, kuchepuka kwa sanaa ila in the end thir bond is un separable.
 
HAHAHAAAAAAAAAAAA! Naona unatoa tamko kabisaa kwenye chama chenu cha WAKUSOMA:lol:. Wanaowataka nyie wanataka wawachuneee tu, wanakuwa wanawaibiaaa, nyie mnahudumia afu wenzenu wanapiga miti bureeeeeeeee! Haki kweli hio?

Afu mju inabosa sanaaa, mdada unakutana na mkaka, unampeeeeeeeeeenda, anakuingia rohoni, unaweka show ya kufa mtu uonekane wife material, unajiongezaa, unajiadabishaaaa, hufanyi pupaa, unatumia mda wako kibaoooooo kujiandaa na uzinduzi. Kuja kushtukaaa ni CHUBWIIIII UNTD! Mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! Kaka mzuriii, n shule yake, na future yake namna gani tenaaaaaaaaaaaaaaaaa pale! Unasema labda kitete cha mechi ya kwanza unampa remach! Yale yale ya chatu alie vimbiwa, kajisonta juu, kajisonta chiniii. Unasemea haki mimi nina gundu si utani, nimelogwa ama nimetupiwa mikosi si buree,. Huyu chatu nampeleka wapi sasa. NI DEAL BREAKER NA HEART BREAKER KICHIZI.

Nakubaliana na ww inawezekana mada yako ikawa na ukwel na nahis ina ukwel ila pia mm kama msom pia sidhan ukiwa msomi lazima uwe ivo inadepend na vitu ving ujue na mtu anaweza akawa kabwela na akawa mbov, na by the way hao ndo wamejaa kutafuta dawa za kuongeza nguv bt nadhan always kitu kizur binadam wanatumia poit ya kukiattach hata km hakijawa proved....

pia siamin wanawake wote wanatoka nje ya ndoa tu wanapogundua mwanamme ni mbov mi naamin kwa experiece yangu maishan kuna wanawake very faithful wanaume ss ndo shida uaminifu
ni mtazamo lkn!!
 
unakubaliana na Mimi kwamba baadhi ya wanawake hawaridhiki na mwanaume mmoja hata kama wanaridhishwa kimapenzi?

mi nakubali mkuu!!halafu mwisho wa siku wanakosa vyote wanaambulia machozi!,

cha ajabu huyo ambae kwako anafanya chubwiii na kutoka,akienda nje anapiga goli tisa kama real madrid au nane za yanga tena kwa ufasaha!!

aargh!wakati mwingine sie wenyewe hatutaki kubadilika kwa bed banaah!mwanaume mpaka hamu inamwisha,utalalamika hufikishwi wakati we mwenyewe hujishughulishi na huridhiki
 
mi nna wasiwasi na huo utafiti wako kwani mi mwenyewe npo kitaa. tuseme kweli vijana ambao wana potential kimaisha ni dili mno mtaani yaani ukiwa na kazi ya kueleweka na huku unatembelea matako unaweza kuwala madem mtaa mzima.labda ungeniambia demu awe na hyo msomi hlf awe anatoka kwa siri na hyo jamaa choka mbaya anayemkuna vizuri ! kwa hali ya maisha yetu ya kiswazi ni vigumu kwa demu kumuacha jamaa mwenye mwelekeo wa kimaisha na kudate na mtu ambae hana mbele wala nyuma sikatai km hawapo ila ni wachache sana labda kwny mia labda wapo watatu

UNAONAAAAAAAAA MLIVOKUWA MIZOBAAAAAAAAA! Pale wewe unaftwa KIMASLAHIIIII, ILI UCHUNWEEEEE! Ndo uhusiano siku tatu utasikia naomba elfu 20, naomba hiki, naomba kile. Mwenzio wa kitaaaa hana kitu na anafanya kufosiwa nyapu aleeee, hata kichakani alee tu mradi amtibie alostooo yake. Hatoi senti tano kipande.

SHANGAA RAHISI SANAA KUMKUTA MSOMI 30, MPAKA 40 HAJAOAAAA ILA HUWEZI KUKUTA KIJANA WA KITAA 30 HANA MKE AU MTU KESHAMZALIA MTOTO WA NJE. Umeonaaaaaa! Ila msomi atapiga P weeeee kitaa, hakuna hata anaemzalia wala kumfosi ndoaaa! KAZI HAWEZIIIIIIIIII! Nani anaemtaka chatu alievimbiwa kimaisha?:lol:

Na hata wasichana wal WAZURIIIIIIIII wa kitaa hukuti wameolewa na wakusoma hata siku moja, japo utakuta wamevuruga nao sanaaa, akiamua kuolewa ujue mtwana atahusika,au kuzaa atazaa na mtwana waendeleze shida zao, japo tiketi ya kuingi kwa wakusoma alikuwa nayo! Kuishi na chatu adhabuuuu mjue, ushakuwa teja afu alostoo hupati mchezooo?:lol:
 
ahahahahaha!!the smart lady una visa!ila hata kama hakufikishi muelekeze mwenzi wako nini unapenda ukiwa maeneo,tena mwambie kwa upole na vitendo zaidi sio kumsimanga!!utamu wa kitandani unaanzia kichwani kwanza kwa kuiandaa akili yako.

vyovyote itakavyokuwa usitoke kwa mwanaume ambaye mkuu lara1 amesema sifa zake hapo juu

Good luck with that! Akielewa nitakununulia pepsi baridi. WAKUSOMA WABISHIIIIIIIII! Ashakremisha MANUAL SCRIPT utamwambia nini?
 
Hahahaaaaaaaaaaaaaaa! NJAAndo inakufanya useme hivo, ila inafika mahala, pesa unayooo sio issu tena. Unafikiri utawaza nini hapo zaidi ya ALOSTOOOOOOOO:lol:

ahahahaa!!wala sio njaa mwenzangu ila kama huna roho ya kuridhika halafu huzungumzi kwa mwenzio jinsi gani inapenda na ukamsaidia kama mwanamke,basi utahangahika na wapigaji mashine sana mpaka uchoke halafu hawaishi sasa!utahangaika na wangapi??
 
Nakubaliana na ww inawezekana mada yako ikawa na ukwel na nahis ina ukwel ila pia mm kama msom pia sidhan ukiwa msomi lazima uwe ivo inadepend na vitu ving ujue na mtu anaweza akawa kabwela na akawa mbov, na by the way hao ndo wamejaa kutafuta dawa za kuongeza nguv bt nadhan always kitu kizur binadam wanatumia poit ya kukiattach hata km hakijawa proved....

pia siamin wanawake wote wanatoka nje ya ndoa tu wanapogundua mwanamme ni mbov mi naamin kwa experiece yangu maishan kuna wanawake very faithful wanaume ss ndo shida uaminifu
ni mtazamo lkn!!

Mimi sijaongolea WANA NDOA hapa naongelea tu wazinzi hawa tu. Wanandoa nikiwajadili hapa pataaka moto:lol:
 
mi nna wasiwasi na huo utafiti wako kwani mi mwenyewe npo kitaa. tuseme kweli vijana ambao wana potential kimaisha ni dili mno mtaani yaani ukiwa na kazi ya kueleweka na huku unatembelea matako unaweza kuwala madem mtaa mzima.labda ungeniambia demu awe na hyo msomi hlf awe anatoka kwa siri na hyo jamaa choka mbaya anayemkuna vizuri ! kwa hali ya maisha yetu ya kiswazi ni vigumu kwa demu kumuacha jamaa mwenye mwelekeo wa kimaisha na kudate na mtu ambae hana mbele wala nyuma sikatai km hawapo ila ni wachache sana labda kwny mia labda wapo watatu

point yako ni nzur, mi nashangaa kwanin wanasema vitu kwa kudefend upande wao pls come na argument nzur lara otherwise am off..
unasema msom mbov ndo maana madem wataenda kwa asiye msome
usem kuwa wasio wasomi weng tu pia wabov wapo point yako nadhan ni kuna msom unamwonea wiv alikua x wako au la...

pili kuhus et matajir weng si wasom, labda tanzania tu na hata kwa tanzania matajir wasio wasom ni wachache sn kulinganisha wasomi whats your point lara., au unadhan usomi had phd..huna point

tatu ndoa znavunjika hasa nying za wasio na kitu maana wote tunajua usem usemao pesa huimarisha penz usikatae hilo labda km umejiandaa kukataa tu

nne kuwa msom unaweza kuwa taji, na kutokua msom pia unaweza kuwa tajir na ukiwa msom ni rahis zaid sema wasom weng wanabweteka na pia sabab wanaridhika na maisha usidhan kila mtu is desperate kuwa billionea wengine tukiwa tunauwezo mzur na akiba tosha ya baadae kwetu na watoto inatosha

vilevile unasahau wengi wasio soma utajir wao ni wa kijin na maalbino nenda kaolewe nae kama mama yako hajawaa msukule mfano tu sipend kugeneralize
 
ahahahaa!!wala sio njaa mwenzangu ila kama huna roho ya kuridhika halafu huzungumzi kwa mwenzio jinsi gani inapenda na ukamsaidia kama mwanamke,basi utahangahika na wapigaji mashine sana mpaka uchoke halafu hawaishi sasa!utahangaika na wangapi??

Unatafuta mmoja tu wa dawa, anae yajulia mashetani yako yalipo basi. Akikutibia alostooo yako, aaaaaahh, wiki nzima mwepesiiiiiiiiiiii.
 
Good luck with that! Akielewa nitakununulia pepsi baridi. WAKUSOMA WABISHIIIIIIIII! Ashakremisha MANUAL SCRIPT utamwambia nini?

ahahahahahahahahhh!!!we usichoke ataelewa tu si wako huyo!
 
Back
Top Bottom