Kwa wanawake na wanaume kuhusu kusoma sms za mpenzi wako au kupokea cm yake je ni haki au tamaa?

Emma.

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
19,935
5,558
Nimeshuhudia ndoa nyingi zinavunja kwa 7 ya cm ..wanawake kwa wanaume wote wanaumizwa na mapenzi kwa 7 ya cm kama unapenda mke wako au mume wako kwa nini ufutilie mpaka kwenye cm ,sms kwa wanaume hata Biblia imetuambia tuishi na wanawake kwa makini sioni haja kufutiliana hadi kwenye mitandao kama mnapendana kila mmoja amwamini mwenzako hata cm ya mpenzi ikiita ukiwepo huna haja ya kufutia au sms imeingia unaisoma utaumizwa kila siku !
 
Kinachoendelea hapo ni kugombana na kulaumiana mara wrong number oooh nimeshamkataa hanisikii kwa nn umize kichwa ungeacha usingeumia au msingea achana girlfrnd wangu namwambia ukwl fanya uhuni lakini nisijue nkigundua ntajua la kukufanya hata sms ikiingia kwenye cm hagusi hata mm cm yake sigusi tunaheshimiana unaweza kumchunga mwanamke wewe!
 
kama huna kifua bora usiguse simu ya mwenzi wako, wala usijarib kuingia kwenye fb account yake coz hatar ya kupata magonjwa ya moyo ni kubwa.
 
Kifupi ni kwamba pindi unapoamua kupekenyua simu ya mwenzi wako ni sawa na kuwa umechoka kuishi nye sasa unatafuta sababu ya kuachana tu!
 
nina haki ya kujua kam napendwa kweli na kama kweli mpenzi wangu yupo fully commited to the relationship....kama waona huwezi kuwa muwazi na mambo yako basi haupo tayari kwa mahusiano.
jambo lingine watu wanakosea...wee kama unataka openess usishike simu yake wee weka mazinga ambayo wewe ungependa yawepo kuhusiana simu...kwa mfano unakuwa very care free na simu yako wee mwache aishike apekue atakavyo hivyo tayari nilishamtega kwa sababu itamlazimu nae awe free na simu yake maana akiwa anaficha ficha tuu tayari itakuwa rahisi kwa mie kujua sumthng is up. in short..wewe anza kufanya vile vitu ambavyo unataka viwepo katika uhusiano wako...yeye kama anakupenda atafuata njia lakini kama mzushi atashindwa
 
kama huna njia za panya hamna shida ashike tu hata akiamua kukaa nayo siku nzima no presha. kama kuna vimeo ndo hapo lazima utakuwa na hofu. mi huwa naamini kuwa kama umeamua kuingia kwenye relatioship kwa uamuzi wako ww na unampenda mwenzio huna sababu ya kukosa uhuru, mwache ashike kama upo clean kwake hatakupata ila kama ndo mtu wa kuchovyachovya ndo hapo sasa presha kibao
 
saa zingine hatupekui wala kugusa simu....ila unakuta alikuwa anatuma sms kwa kimada wake....bahati nzuri kakosea ikakata kona ikaingia kwangu.....hapa nafanyaje......?
 
saa zingine hatupekui wala kugusa simu....ila unakuta alikuwa anatuma sms kwa kimada wake....bahati nzuri kakosea ikakata kona ikaingia kwangu.....hapa nafanyaje......?

mwambie ajichagulie adhabu ambayo itakuwa ni fundisho for the rest of his life
 
By Preta:
Saa zingine hatupekui wala kugusa simu..ila unakuta alikuwa anatuma sms kwa kimada wake..kwa bahati nzuri kakosea ikakata kona ikiingia kwangu..hapa nafanyaje....?
Ukishagundua ukweli kama huo unamwonya kwa mara ya kwanza kama atakuwa mwelewa nadhani hatarudia tena usipaniki na kumtukana unamwelewesha au unamtumia kwa unarepy kwa kutumia number zako then unanyamaza kimya hapo atajiuliza maswali mengi sana huyu mume nimekosea amenyamaza kimya atanifanyaje nkirudia tena ...nawashangaa sana wanafutiana mpaka kwenye mitandao ya kijamii unajitesa mwenyewe..
 
saa zingine hatupekui wala kugusa simu....ila unakuta alikuwa anatuma sms kwa kimada wake....bahati nzuri kakosea ikakata kona ikaingia kwangu.....hapa nafanyaje......?

Hapa ulimanisha Jambazi ni jambazi tu c ndio
 
Nimeshuhudia ndoa nyingi zinavunja kwa 7 ya cm ..wanawake kwa wanaume wote wanaumizwa na mapenzi kwa 7 ya cm kama unapenda mke wako au mume wako kwa nini ufutilie mpaka kwenye cm ,sms kwa wanaume hata Biblia imetuambia tuishi na wanawake kwa makini sioni haja kufutiliana hadi kwenye mitandao kama mnapendana kila mmoja amwamini mwenzako hata cm ya mpenzi ikiita ukiwepo huna haja ya kufutia au sms imeingia unaisoma utaumizwa kila siku !

Ni haki au tamaa! It depends.
Si busara kupokea au kupekenyua SMS za mwenzako bila ya kupata consent yake. Lakini kuna mambo kadhaa yanayo prompt mme/mke kupokea au kusoma SMS za mwenzake iwapo atapata access ya kushika simu ya mwenzake.
Mfano:
1. kwenda bafuni/chooni kila mara ukiwa umebeba simu yako.
2. Kutoka nje kila mara kwa ajili ya kupokea simu.
3. Kawaida ya kufunga simu uwapo na mwenzio na mambo mengine yanayofanana na hayo.
 
saa zingine hatupekui wala kugusa simu....ila unakuta alikuwa anatuma sms kwa kimada wake....bahati nzuri kakosea ikakata kona ikaingia kwangu.....hapa nafanyaje......?

Hapo sasa unahaki ya kuja juu, hakika si vema kufuatilia simu ya mmeo au mkeo na huwa najiuliza kama tumeweka utaratibu wa kutoshare simu na mwenzangu akategea nimetoka akaona meseji mbaya na akaja juu si busara, ila yule ambaye amekiuka makubaliano ndiyo anatakiwa kujiwa juu jamani.
 
Back
Top Bottom