Kwa wanaume wa JF

MZURI SANA

JF-Expert Member
Oct 19, 2023
241
546
Jamani.

Sidhani kama kuna mwanaume wa jf anayejua kutongoza.

Sisemi kwa ubaya ,ila wanaume wa jf wengi kuandika andika vicaption vya falsafa nyingi kama wanasomea phd ila vitendo asilimia kubwa ni sifuri.

Kwa Yoyote atakayeweza kunitongoza namkaribisha PM.

Nitakuja na mrejesho wapenzi.

Uwe na swaga.

Usiku mwema
View attachment 2786733


MREJESHO.

Hadi muda huu wapenzi wangu wa jf nimeweza kupokea PM kama 50+ kweli nimeendelea kulithibitisha nilisemalo.

Micheke mie

Jf man man swaga za kizamani kweli.

Ebu nione itakavyoishia.
 
Jamani.

Sidhani kama kuna mwanaume wa jf anayejua kutongoza.

Sisemi kwa ubaya ,ila wanaume wa jf wengi kuandika ila vitendo asilimia sifuri.

Kwa Yoyote atakayeweza kunitongoza namkaribisha PM.

Uwe na swaga.

Usiku mwema
Weka picha, hatununui mbuzi kwenye gunia. Na useme hali yako kiuchumi maana na sisi hela zetu zina kazi pia
 
Very strategic.

Name: MZURI SANA

AVATAR: Mwanamke aliyevaa bikini, makalio nje nje, na shanga juu

THREAD: Wanaume wa JF hawajui kutongoza. MANENO mengi VITENDO sifuri.

731050.jpg

Kifuatacho ITV ............
 
Back
Top Bottom