kwa wanaume mnaotaka kuoa wakenya only.....

Heheheheheeee wanawake wa Kikenye noma.

Chezeya Lucy Kibaki....:lol::lol:



 
Last edited by a moderator:
ha ha ha, bora kuwa mseja.

Mazoezi makali yote hayo kwa ajili ya mke wangu nlomlipia mahari mwenyewe.
 
Heheheheheeee wanawake wa Kikenye noma.

Chezeya Lucy Kibaki....:lol::lol:






hahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ni balaaah lol,ngoja tutatuma wajumbe wamshawishi mzee kujiunga na chuo chetu cha kungfu,hii itaomuongezea makofindensi.. ....jinsi ya kukabiliana na mkewe,lol.....
 
Last edited by a moderator:
Jamani first lady wa kenya mi sijui hua namuonaje... muonekano, mavazi, the way she carries herself...
 
Jamani first lady wa kenya mi sijui hua namuonaje... muonekano, mavazi, the way she carries herself...

Just say it....I know you want to...come on, let it out :lol::lol:

One thing I can say about her is she ain't the type to be messed with...she'll cut you in a heartbeat!
 
mkuu unaamini kuna mbongo mwenye wazo la kuoa mkenya?
wapo wengi tu mbona? Hivi majuzi tulikuwa Kisumu kuna jamaa yangu alipa Mke kule na harusi tayari. sasa cjajua kama shemeji ni mtaalam kiasi gani. Baada ya ile kauli kuwa wanaume wa Kenya wameumua kuandamana kupinga kupigwa na wakeze, mshkaji ameamua kujiunga na gym kwa siri ili kujiweka fit. This is very true!
 
me hta nkipewa dame wa kikenya bure coi!! utam wte wa madame wa tz kenya nkafanyd nn? kwnza hawajui kuhandle nshawah kuwa nao km wa3 yan maudhi tupu. urith wa kwe2 tz wapo kibao.
 
Back
Top Bottom