Kwa wanaojua kiswahili, nini maana ya neno hili?

February Makamba

JF-Expert Member
Jan 31, 2020
2,116
2,820
Guangzhou!
Kwa wataalamu wa lugha adhimu ya kiswahil...Nini maana ya neno Mbwiga??

Nilisikia jana jirani anasema ''Mume wangu alirudi yupo mbwiga"

Pia naomba msaada wa maneno haya
1.Monde
2.Karandinga
3. Gida

"Waligida Monde wakajikuta ndani ya karandinga"
 
Monde siyo neno la Kiswahili
 
Back
Top Bottom