kwa wanaohitaji huduma za accountancy,consultancy and auditing.....

Prisoner 46664

JF-Expert Member
Dec 18, 2010
1,948
1,237
Wakuu,najua benki nyingi siku hizi zinawadai audited financial statements kwa biashara na kampuni zenu kabla hazija-approve hiyo mikopo yenu ya mamia ya mamilioni...

Msiumize vichwa tafadhali,ni-PM na tunaweza kuifanya kazi yako kwa haraka kuliko speed ya umeme na kwa gharama nafuu kabisa...
 
Hii ni kazi unatafuta. Why usitoe contacts? Ni PM contact zako nikupe kazi. Kuna mmoja aliwahi kutangaza hapa kumpa kazi akaingia mtini
 
Back
Top Bottom