Kwa wanao kula nyama pasaka.

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
385107_283713421667348_100000860778677_789541_720630734_n.jpg
pasaka njema.
 
mmmmhhhhh hiyo mishikaki lazima iwe ya salanda..

Umenikumbusha Salanda mkuu. Hapo ndo kilikuwa kituo kikuu cha kupatia msosi tukisafiri kwa gari Moshi toka DAR kwenda MZA. Tulikuwa tunakula kuku wakubwa hao sijawahi kuona. Ni siku nyingi sijapita hiyo nia tena. Miss you Salanda
 
kaka ivi wale kweli walikuwa ni kuku? maana yale maeneo hakuna hata dalili ya kuku zaidi ya yale mandege pori ,
 
Mishikaki ya panya mkuu? Ingawa mimi ni mroho wa nyama lakini hapo kaka hata kugusa sigusi.
 
Back
Top Bottom