wakuu hii kinywaji sina uwezo wa kuinunua ila nimekutana nayo kwenye sherehe fulani hapa,niemeipenda sana,kama kuna zaidi naomba tujuzeni kupitia jukwaa hili.
Mkuu hiyo kitu hata Jayz amewahi kuisifia kwenye moja ya nyimbo zake,Ni moja kati ya pombe classic kabisa.
Wakuu, hii kinywaji sina uwezo wa kuinunua ila nimekutana nayo kwenye sherehe fulani hapa,niemeipenda sana,kama kuna zaidi naomba tujuzeni kupitia jukwaa hili.
shemele
Marire inaonekana we ni mkali wa zile muvi za ngono,maana neno shemele kule ni maarufu sana.shemele