Kwa wale wanaouza maji na pick up Zao

Kitope

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
236
58
Heshima waheshimiwa!!,
Kuna mabingwa flani huwa wanauza maji kwa wananchi, huzunguka na Pick Up zao na matenki ya 1000lt. Nawahitaji
kama wamo humu ama unawajua naomba kontakt zao.
Ni vizuri kama nitapata wale wanaozunguka mitaa ya kigamboni na vitongoji vyake.
namba za simu nitawasiliana nao ama please ni Pm.
Natanguliza shukrani za dhati.
 
Sorry mie siwezi kukusaidia mkuu. Ila nilitaka kujua tu, kwa mfano hilo tenki la 1000 lt maji hayo yanauzwa kwa shilingi ngapi siku hizi?
 
Heshima waheshimiwa!!,
Kuna mabingwa flani huwa wanauza maji kwa wananchi, huzunguka na Pick Up zao na matenki ya 1000lt. Nawahitaji
kama wamo humu ama unawajua naomba kontakt zao.
Ni vizuri kama nitapata wale wanaozunguka mitaa ya kigamboni na vitongoji vyake.
namba za simu nitawasiliana nao ama please ni Pm.
Natanguliza shukrani za dhati.
Mkuu mimi nilikuwa nataka kuanzisha hiyo issue ya kusambaza maji kwa maeneo ya kigamboni embu nipe data kamili za bei mnanunua vipi maji?
 
Mkuu mimi hata sijui wanauzaje but last kuuliza jamaa mmoja alikuwa anapita ile toroli na madumu yake ya lt20. iyo ilikuwa 250 shilingi ya kikwete. hao wa magari kwa kweli sijui wanauzaje. Ila mimi nawatafuta kwa ajili ya kizee changu huko mitaani kinataka kuwauzia wao kwa jumla.
 
Back
Top Bottom