Kwa wale Wajasiriamali na Wafanyabiashara:

Pelham 1

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
548
99
Tangaza Marketing Solutions:
Ni Kampuni inajishughulisha na Advertising,Marketing & Promotions:
Inatoa huduma kwa Wajasiriamali na Wafanyabiashara Wadogo na Wakubwa,
Lengo kuu ni kuwasaidia Wafanyabiashara na Wajasiriamali kuweza kuwajua wateja wao na Wateja kujua huduma ama bidhaa walizonazo ilikuwafikia kiurahisi pindi wanapohitaji,
Pia tunasaidia kwa wale waliobusy Kusajili Biashara [Kampuni] kutokana na Mteja anayotaka kufungua kama ni Biashara ya Mtu mmoja[Individual] Biashara ya Watu wa 2 nakuendelea[Partinership] na Ltd campany kwa muda siku 4 mpaka week 1 kila kitu kinakuwa teyari nikimanisha usajili ful wa Biashara[Kampuni] unakuwa umekamilika nakukabidhiwa Certificate,Tin number na Leseni mkononi,Kama utapenda uletewe ama kutumiwa popote utakapokuwa. "We are trusted" Tumeshafanya kazi na Watu wengi nje ya JF na humu ndani ya Jamii Forum.
Office yetu ipo Sinza Africasa Nyuma ya Soko karibu na kituo cha Police Mabatini.
Mawasiliano:
0714-074040
0767-074040
0783-074040
0713-705360
Mnakaribiswa
 
Ndo mpya ama ipo siku nyingi? Pia kuletewa tin namba wakati siku hizi wanataka mpaka finger print inakuwa je?
 
Back
Top Bottom