Kwa wale wahitaji wa video production pamoja picture kwa ajili ya event mbalimbali

ukuwi

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
769
1,271
Habari kwenu.

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika,kwa MTU,SHIRIKA ama TASISI yenye uhitaji wa kutengenezewa au kufanyiwa coverage ya VIDEO PRODUCTION.

Tunatengeneza aina mbali mbali za video kwa viwango tofauti kutokana na matakwa ya muhitaji.

AINA ZA VIDEO
Natanguliza samahani kuwa baadhi ya package sitoweza kuweka bei.

DOCUMENTARY
Hapa tunafanya aina yeyote ya Documentary inategemea na uhitaji wa mteja ni kitu gan anacho taka kutengenezewa,bila kusahau ubora wa picha na maneno,video and sound.

CONFERENCE
Tunafanya caverage za Conference tofauti hapa utapata kila kitu ambacho kimejadiliwa kwanzia mwanzo wa meeting paka mwisho wake hapa utapata ubora wa picha na maneno kwa kumaanisha Video and Sound.
Hapa naomba niende mbele kidogo endepo kama Conference itakuwa ni ya zaidi ya siku moja usiwaze kuhusu hilo kwani tutakuwa nawe siku zote za shughuli yako,pia tuta kupangilia kazi yako kutokana na mtiririko wa conference jinsi ulivyo enda.

Pia tunafanya coverage ya Event hii ni kutokana na uhitaji wako kama Mteja.

ADVERTISMENT
Hapa tunafanya Advertisment za vitu mbali mbali,kama migahawa,maduka ya nguo,taasisi,viwanda,hapa tunamsikiliza mteja ni kitu gani anahitaji,pia tunatoa ushauri kwa mteja endapo kama akija na wazo lake akihitaji ushauri.

WEDDING AND SENDOFF

Pia tunafanya coverage ya Sendoff na pamoja na Harusi,hii inategemea na mteja atachagua nini katika packege yetu,kwa hapa bei zipo wazi utachagua ni nini unahitaji kama mteja.

WEDDING AND SENDOFF RATES

BASIC PACKAGE

1,000,000/=

# Whole Event Video & Photos coverage
# Two flat projector for live shooting
# Photo album(Box Album) with 160 picture(5*7 photo size)
# Three DVD copies
# One canvas frame photo (A3 size)
# USB flash with all photO and Video


ORDINARY PACKAGE

1,500,000/=

# Whole event video and photo coverage
# Two flat screens for live shooting
# Photo Album (Box Album) with 160 pictures (5*7 photo size)
# Three DVD copies
# One canvas frame photo(A3 size)
# USB flash with all photo and Video

STANDARD PACKAGE

1,800,000

# Whole event video and photo coverage
# Two flat screen for live shooting
# uxecutive album with 200 pictures (5*7photo size)
# Four DVD copies
# Two canvas frames photo(A3 size)
# USB flash with all photos and video

ADVANCED PACKAGE

2,000,000

# Whole event photo and video coverage
# Three flat screen for live shooting
# Printed photo book A4 size
# Five DVD copies
# Two canvas framed photo A3 size
# USB flash with all photos and video
# Documenry

EXECUTIVE PACKAGE

2,600,000/=
# Whole event video and photo coverage
# Four flat screens for live shooting
# Two live video camera with video mixer
# Printed Photo Book (A3 size)
# Six DVD copies
# Documenatry
# Two canvas Framed photos(A3 size)
# USB flash with all photo and video


Kwa mawasiliano zaidi
Phone no:0786-552557
:0657-173707
Email :eyevisionwedding@gmail.com.
 
Back
Top Bottom