Ndo hukohuko mkuu ,una kumbukumbu sanaHivi huko Kongwa ndiyo kule wanakula viwavi jeshi na kunya porini?
Kumbe ulishayasema toka zamaniWanabodi,
Uwezo wa kiongozi mzuri, hupimwa kwa matokeo ya ahadi anazotoa kuwa iwapo atachaguliwa atafanya nini.
Sasa inapotokea mmemchagua mtu, amekaa miaka 5, hajafanya lolote, na baada ya miaka 5, mmemchagua na hajafanya lolote, sasa leo tena, mmemchagua tena kwa miaka 5 ya mwingine, mnategemea nini?!. Then watu kama nyinyi mnaomchagua mtu kama huyu miaka nenda miaka rudi ndio wenye matatizo, ila kwa maeneo yenye umaskini uliotopea, tunaelewa watu wa maeneo hayo hawana choice.
Natolea mfano Jimbo la Kongwa, kwa wale mliowahi kufika Kongwa!, licha ya Jimbo hili kuwa ni moja ya maeneo yenye utajiri mkubwa wa mifugo, maeneo ya kutosha kwa malisho na uwepo wa Ranchi ya Taifa ya Kongwa inayoongoza kwa nyama tamu ya ng'ombe," Kongwa Beef", Jimbo la Kongwa ni moja ya majimbo masikini sana Tanzania, yenye watu wenye umasikini uliotopea, kwa kifupi hali ya Kongwa ni choka mbaya sana kiasi kwamba mtu unajiuliza mbunge wa jimbo hili, licha ya kuwa mbunge wa Kongwa toka mwaka 2000 hadi sasa, ni zaidi ya miaka 15, atakuwa anafanya nini kuibadili hali hii ya umasikini uliotopea wa jimbo la Kongwa kiasi cha kuonekana kama hana uwezo wowote wa kufanya lolote la maana!.
Tukubali tukatae, CCM ndio chama tawala kwa miaka mingi ijayo hivyo CCM ikituchagulia viongozi wazuri, taifa litapata watu wazuri watakaofanya mambo mazuri na kutuletea maendeleo.
Sifa kuu ya kuchaguliwa kuongoza mhimili iwe ni track record yako umewahi kufanya nini cha maana hadi kustahili kuongezwa madaraka kwa kupewa mhimili unless sasa iwe ni kutafuta mhimili ili sasa ndio atumie nguvu za mhimili kuwaletea maendeleo wana Kongwa!.
Nimelisemea hili baada ya kuona wagombea fulani fulani ndani ya CCM wenye zero track record kwenye majimbo yao lakini wanawania nafasi fulani fulani za juu sio ili kuongoza bali ni kutafutia tuu ulaji, na sio uwezo wa utendaji!.
Sasa ikitokea mbunge kama huyu mbunge wa Kongwa, kufuatiwa kushindwa kufanya lolote la maana kwenye jimboni kwake!, halafu sasa anatafuta nafasi ya juu zaidi kutaka kuongoza mhimili, mtu kama huyu anataka nafsi hiyo akafanye nini?!.
Tunawaomba sana CCM wawe na huruma na Uzalendo kwa nchi yetu, kama mtu kama huyu ambaye ameshindwa kufanya lolote la maana jimboni kwake, halafu analeta jina lake lifikiriwe kuongoza mhimili, kweli ni mtu wa kufikiriwa kupewa madaraka makubwa zaidi kama kushika mhimili wa Dola?!.
Tunawaomba sana CCM tafadhalini sana msituletee mchezo!.
Leo ninapoandika hapa, wengi hamtanielewa nasema nini kwa sababu sii wengi humu wamefika Kongwa, lakini as times go by ikitokea mtu kama huyu kushika mhimili wa dola, mtashuhudia makubwa na mambo ya ajabu ndipo labda mtanielewa.
Mkichukua failures na kuwapa madaraka makubwa kuliko uwezo wao, then tegemea a failed output, madaraka yatakiwa yamemzidi kimo, hivyo kuonyeshea ana fiti, subirieni makeke yake ns vimbwanga vyake, mtanikumbuka, na from time to time, mimi nipatapo nafasi, nitakuwa nawakumbusha.
Pasco
Duh!! Uzi umefufuka...Leo nimepata nafasi kidogo, ni katika kukumbushana tuu, tulisema nini na kinatokea nini.
P
Very trueNdugu yangu Pasco,tatizo kubwa la nchi hii ni wananchi wenyewe.Popote pale duniani,aina ya watawala walio madarakani inaakisi aina ya wananchi wa nchi husika.Na sio Kongwa tu majimbo mengi ya mkoa wa Dodoma yako hovyo mno.
Na kwa kweli miongoni mwa mikoa yenye safari ndefu ya kutafuta ukombozi wa fikra mmojawapo ni Dodoma.Mikoa yote ambayo ni ngome ya chama tawala ni duni mno kielimu na kimaendeleo.Angalia Dodoma,Singida,Shinyanga,Ruvuma,Katavi,Geita,Lindi n.k. Usisahau maajabu ya watu Mtera na Mtama.
Nyakati zimetimiaDuh!! Uzi umefufuka...
Kweli Pasi na mpinzani wa Spika Job yaani nahisi ungekua Mgogo ungeenda kutia nia pale mkapambane kwa bakoraLeo nimepata nafasi kidogo, ni katika kukumbushana tuu, tulisema nini na kinatokea nini.
P
Ahahahaaaa mzee anachapa bakora yule, na akikutandika lazima uziraiKweli Pasi na mpinzani wa Spika Job yaani nahisi ungekua Mgogo ungeenda kutia nia pale mkapambane kwa bakora
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Hebu tunaweke mambo sawa. Nduguye ni Mzee wa Kanisa la Anglikani. Ni wazi ..he is not a Catholic as you claim.By virtual of being Mkatoliki ... Ndugai anafaa ... Rejea maneno ya Pengo the Don ! ... Viongozi lazima awe anatoka kwa Masikini ... pasco,
Pasiko, unaposema tukubali tukatae CCM ndiyo chama tawala kwa miaka mingi ijayo ni nini unataka tukijue! Kwamba unajivunia CCM kuwa chama tawala kwa mkono wa chuma? Ningefurahi sana kuona CCM inaacha kuwa chama tawala na inakuwa chama kinachoiongoza nchi, najua wasukuma mnapenda sana kutawala na uchifu kuliko uongozi. Nirudi kwenye hoja, wakongwa wanakipi cha kujivunia miaka 60 ya Uhuru, mimi wa Tandika sina nategemea visima vya watu binafsi na barabara za vumbi na matope.Wanabodi,
Uwezo wa kiongozi mzuri, hupimwa kwa matokeo ya ahadi anazotoa kuwa iwapo atachaguliwa atafanya nini.
Sasa inapotokea mmemchagua mtu, amekaa miaka 5, hajafanya lolote, na baada ya miaka 5, mmemchagua na hajafanya lolote, sasa leo tena, mmemchagua tena kwa miaka 5 ya mwingine, mnategemea nini?!. Then watu kama nyinyi mnaomchagua mtu kama huyu miaka nenda miaka rudi ndio wenye matatizo, ila kwa maeneo yenye umaskini uliotopea, tunaelewa watu wa maeneo hayo hawana choice.
Natolea mfano Jimbo la Kongwa, kwa wale mliowahi kufika Kongwa!, licha ya Jimbo hili kuwa ni moja ya maeneo yenye utajiri mkubwa wa mifugo, maeneo ya kutosha kwa malisho na uwepo wa Ranchi ya Taifa ya Kongwa inayoongoza kwa nyama tamu ya ng'ombe," Kongwa Beef", Jimbo la Kongwa ni moja ya majimbo masikini sana Tanzania, yenye watu wenye umasikini uliotopea, kwa kifupi hali ya Kongwa ni choka mbaya sana kiasi kwamba mtu unajiuliza mbunge wa jimbo hili, licha ya kuwa mbunge wa Kongwa toka mwaka 2000 hadi sasa, ni zaidi ya miaka 15, atakuwa anafanya nini kuibadili hali hii ya umasikini uliotopea wa jimbo la Kongwa kiasi cha kuonekana kama hana uwezo wowote wa kufanya lolote la maana!.
Tukubali tukatae, CCM ndio chama tawala kwa miaka mingi ijayo hivyo CCM ikituchagulia viongozi wazuri, taifa litapata watu wazuri watakaofanya mambo mazuri na kutuletea maendeleo.
Sifa kuu ya kuchaguliwa kuongoza mhimili iwe ni track record yako umewahi kufanya nini cha maana hadi kustahili kuongezwa madaraka kwa kupewa mhimili unless sasa iwe ni kutafuta mhimili ili sasa ndio atumie nguvu za mhimili kuwaletea maendeleo wana Kongwa!.
Nimelisemea hili baada ya kuona wagombea fulani fulani ndani ya CCM wenye zero track record kwenye majimbo yao lakini wanawania nafasi fulani fulani za juu sio ili kuongoza bali ni kutafutia tuu ulaji, na sio uwezo wa utendaji!.
Sasa ikitokea mbunge kama huyu mbunge wa Kongwa, kufuatiwa kushindwa kufanya lolote la maana kwenye jimboni kwake!, halafu sasa anatafuta nafasi ya juu zaidi kutaka kuongoza mhimili, mtu kama huyu anataka nafsi hiyo akafanye nini?!.
Tunawaomba sana CCM wawe na huruma na Uzalendo kwa nchi yetu, kama mtu kama huyu ambaye ameshindwa kufanya lolote la maana jimboni kwake, halafu analeta jina lake lifikiriwe kuongoza mhimili, kweli ni mtu wa kufikiriwa kupewa madaraka makubwa zaidi kama kushika mhimili wa Dola?!.
Tunawaomba sana CCM tafadhalini sana msituletee mchezo!.
Leo ninapoandika hapa, wengi hamtanielewa nasema nini kwa sababu sii wengi humu wamefika Kongwa, lakini as times go by ikitokea mtu kama huyu kushika mhimili wa dola, mtashuhudia makubwa na mambo ya ajabu ndipo labda mtanielewa.
Mkichukua failures na kuwapa madaraka makubwa kuliko uwezo wao, then tegemea a failed output, madaraka yatakiwa yamemzidi kimo, hivyo kuonyeshea ana fiti, subirieni makeke yake ns vimbwanga vyake, mtanikumbuka, na from time to time, mimi nipatapo nafasi, nitakuwa nawakumbusha.
Pasco
Ni katika kukumbushana tuu.Tunawaomba sana CCM wawe na huruma na Uzalendo kwa nchi yetu, kama mtu kama huyu ambaye ameshindwa kufanya lolote la maana jimboni kwake, halafu analeta jina lake lifikiriwe kuongoza mhimili, kweli ni mtu wa kufikiriwa kupewa madaraka makubwa zaidi kama kushika mhimili wa Dola?!.
Tunawaomba sana CCM tafadhalini sana msituletee mchezo!.
Leo ninapoandika hapa, wengi hamtanielewa nasema nini kwa sababu sii wengi humu wamefika Kongwa, lakini as times go by ikitokea mtu kama huyu kushika mhimili wa dola, mtashuhudia makubwa na mambo ya ajabu ndipo labda mtanielewa.
Mkichukua failures na kuwapa madaraka makubwa kuliko uwezo wao, then tegemea a failed output, madaraka yatakiwa yamemzidi kimo, hivyo kuonyeshea ana fiti, subirieni makeke yake ns vimbwanga vyake, mtanikumbuka, na from time to time, mimi nipatapo nafasi, nitakuwa nawakumbusha.
Pasco
Mkuu Mag3 , niliwahi kuuliza hivi, Kwa wale mliowahi kufika Kongwa, ni jimbo choka mbaya kiasi kwamba Mbunge wake hafai kwa lolote!Je tumweleweje huyu Naibu Spika na Mbunge wa Kongwa, kwa nini alitaka awe mwakilishi wa watu wa Kongwa?
Job Yustino Ndugai hawaonei hata huruma wananchi wa Kongwa wanavyoendelea kuteseka kwa umaskini na maradhi kwa sababu ya huu mfumo fisadi ?
Mkuu Mwaikibaki , karibu hapa uone tulisema niniHuyu ni mtu wa hovyo professionally kuwahi kupewa nafasi kubwa kama hiyo, it was a big risk kama nchi kumpa muhimili huu!
Ilikua ni issue ya muda tu! Bila kinyongo, fitna majungu wala mrengo wa kisiasa, naweza kuthubutu kusema hata siku moja huyu mtu hakuweza kua na level ya professionalism ukiacha tabia za wanasiasa vigeugeu aka fit kua mkuu wa mhimili huu!… msaidizi wake ni academically qualified (paper) ila reasoning na siasa zake ni wa hovyo as well!
omba omba hawajawahi kuleta maendeleo hata siku moja wao wanawaza kuomba tu barabaraniWanabodi,
Uwezo wa kiongozi mzuri, hupimwa kwa matokeo ya ahadi anazotoa kuwa iwapo atachaguliwa atafanya nini.
Sasa inapotokea mmemchagua mtu, amekaa miaka 5, hajafanya lolote, na baada ya miaka 5, mmemchagua na hajafanya lolote, sasa leo tena, mmemchagua tena kwa miaka 5 ya mwingine, mnategemea nini?!. Then watu kama nyinyi mnaomchagua mtu kama huyu miaka nenda miaka rudi ndio wenye matatizo, ila kwa maeneo yenye umaskini uliotopea, tunaelewa watu wa maeneo hayo hawana choice.
Natolea mfano Jimbo la Kongwa, kwa wale mliowahi kufika Kongwa!, licha ya Jimbo hili kuwa ni moja ya maeneo yenye utajiri mkubwa wa mifugo, maeneo ya kutosha kwa malisho na uwepo wa Ranchi ya Taifa ya Kongwa inayoongoza kwa nyama tamu ya ng'ombe," Kongwa Beef", Jimbo la Kongwa ni moja ya majimbo masikini sana Tanzania, yenye watu wenye umasikini uliotopea, kwa kifupi hali ya Kongwa ni choka mbaya sana kiasi kwamba mtu unajiuliza mbunge wa jimbo hili, licha ya kuwa mbunge wa Kongwa toka mwaka 2000 hadi sasa, ni zaidi ya miaka 15, atakuwa anafanya nini kuibadili hali hii ya umasikini uliotopea wa jimbo la Kongwa kiasi cha kuonekana kama hana uwezo wowote wa kufanya lolote la maana!.
Tukubali tukatae, CCM ndio chama tawala kwa miaka mingi ijayo hivyo CCM ikituchagulia viongozi wazuri, taifa litapata watu wazuri watakaofanya mambo mazuri na kutuletea maendeleo.
Sifa kuu ya kuchaguliwa kuongoza mhimili iwe ni track record yako umewahi kufanya nini cha maana hadi kustahili kuongezwa madaraka kwa kupewa mhimili unless sasa iwe ni kutafuta mhimili ili sasa ndio atumie nguvu za mhimili kuwaletea maendeleo wana Kongwa!.
Nimelisemea hili baada ya kuona wagombea fulani fulani ndani ya CCM wenye zero track record kwenye majimbo yao lakini wanawania nafasi fulani fulani za juu sio ili kuongoza bali ni kutafutia tuu ulaji, na sio uwezo wa utendaji!.
Sasa ikitokea mbunge kama huyu mbunge wa Kongwa, kufuatiwa kushindwa kufanya lolote la maana kwenye jimboni kwake!, halafu sasa anatafuta nafasi ya juu zaidi kutaka kuongoza mhimili, mtu kama huyu anataka nafsi hiyo akafanye nini?!.
Tunawaomba sana CCM wawe na huruma na Uzalendo kwa nchi yetu, kama mtu kama huyu ambaye ameshindwa kufanya lolote la maana jimboni kwake, halafu analeta jina lake lifikiriwe kuongoza mhimili, kweli ni mtu wa kufikiriwa kupewa madaraka makubwa zaidi kama kushika mhimili wa Dola?!.
Tunawaomba sana CCM tafadhalini sana msituletee mchezo!.
Leo ninapoandika hapa, wengi hamtanielewa nasema nini kwa sababu sii wengi humu wamefika Kongwa, lakini as times go by ikitokea mtu kama huyu kushika mhimili wa dola, mtashuhudia makubwa na mambo ya ajabu ndipo labda mtanielewa.
Mkichukua failures na kuwapa madaraka makubwa kuliko uwezo wao, then tegemea a failed output, madaraka yatakiwa yamemzidi kimo, hivyo kuonyeshea ana fiti, subirieni makeke yake ns vimbwanga vyake, mtanikumbuka, na from time to time, mimi nipatapo nafasi, nitakuwa nawakumbusha.
Pasco
Angalia tu ukienda huko usichezee tuMkuu Mag3 , niliwahi kuuliza hivi, Kwa wale mliowahi kufika Kongwa, ni jimbo choka mbaya kiasi kwamba Mbunge wake hafai kwa lolote!
P
Mzee baada ya hapa hukusikika tena kumwandika Ndugai😀Wanabodi,