Kwa wale madomo zege!!!

SUPERUSER

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
960
304
wakati nikiwa nabrowse kutafuta movies za kudownload...nikadownload series inaitwa PICKUP ARTIST...jamaa anafundisha watu jins ya kuwa na confidence,jins ya kuanzisha mazungumzo unapokutana na msichana club,barabarani etc,jins ya ku initiate 1st kiss etc...kwa wale ambao hamjaangalia u should find it,it's really great trust me...najua a lot of guys out there tunaishiwaga maneno esp unapokutana na msichana ambae unampenda..kazi kwenu wadau
 
cjazitumia coz i already have a girlfrnd...but they are good tips that anybody should know cyo lazima purpose iwe ni kutafuta demu
 
So u ar nt a domo zege since uhv a grlfrnd.ngoja siku akususe ndi utajua nawe domo zege.bt thnx 4uar advice cc domozege.....
 
Hii itakuwa ya madomo zege wa kizungu, version ya kiswahili bado wakuu, msipeane moyo bure. wee unazani toto linalokula mahindi ukalitokee na pick up artist ya dvd litakuelewa?

Halaf naona kama hiki kizazi cha kiume kinapoteza daireksheni siku hizi! khaaaa!
 
ningeomba ututafutie na ya wadada......kuna saa zingine namdondokea jamaa....domo linakuwa zege.....naishia kufanya body langueji....jamaa linakuwa halielewi....nadhani site kama hiyo ukinitafutia....itanifaa zaidi........
 
sijakupata, toa mfano.........
 
usihofu cutie, hiyo dvd itawapa tuition ya kusoma bode langueji. nadhani itakuwa full package manake kuna watu wanatumia very old lines,hadi huruma!
<font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">ningeomba ututafutie na ya wadada......kuna saa zingine namdondokea jamaa....domo linakuwa zege.....naishia kufanya body langueji....jamaa linakuwa halielewi....nadhani site kama hiyo ukinitafutia....itanifaa zaidi........</span></font></font>
<br />
<br />
 
Kwa hiyo mkuu unahimiza watu waitafute hyo muvi waongeze maujuz ya kutongoza halafu so what? Outcome yake ni nini? Kama si kuchochea uzinzi hapa Tz na kuongezeka kwa maambukiz? Da hiki kizazi cha bongofleva kazi ipo kukilea,yaani hadi muv za namna ya kutongoza zipo cku hz ili ku accelerate rate ya utongozaji. Dah kaaaaz kweli kwel.
 
ningeomba ututafutie na ya wadada......kuna saa zingine namdondokea jamaa....domo linakuwa zege.....naishia kufanya body langueji....jamaa linakuwa halielewi....nadhani site kama hiyo ukinitafutia....itanifaa zaidi........
Duh! Nilikuwa sijui hili.
Body Language sikuhizi ni ngumu kueleweka sababu nyie mna mivuto ya kila aina ni vyema kuongea tu Sema nae Usione Soo
 
Duh! Nilikuwa sijui hili.
Body Language sikuhizi ni ngumu kueleweka sababu nyie mna mivuto ya kila aina ni vyema kuongea tu Sema nae Usione Soo

sasa naanzaje?....kwamba......samahani sijui nimekufananisha?....hiyo ni old style......au labda....mmmh....inakuwa ngumu kidogo.......
 
hivi mwl anapofundisha topic ya reproduction ana maanisha wanafunzi wakafanye uzinzi au anawapa knowledge ya kuelewa wao ni nani na wametoka wapi,kwa hili hamaanishi kufanya uzinzi ana maanisha kuwapa uelewa vijana wkt wanapotafuta wachumba wasije wakashindwa kuongea na kukosa bahati yake. acha kuhukumu watu kwa mawazo yako mwenyewe.

Kwa hiyo mkuu unahimiza watu waitafute hyo muvi waongeze maujuz ya kutongoza halafu so what? Outcome yake ni nini? Kama si kuchochea uzinzi hapa Tz na kuongezeka kwa maambukiz? Da hiki kizazi cha bongofleva kazi ipo kukilea,yaani hadi muv za namna ya kutongoza zipo cku hz ili ku accelerate rate ya utongozaji. Dah kaaaaz kweli kwel.
 
The Pickup Artist is an American reality show on VH1 which focuses on a group of eight or nine male contestants who have historically been unsuccessful in love and relationships learning the art of the "pickup" as taught by seduction artist Mystery (Erik von Markovik) and his wings.[SUP][2][/SUP] The first season featured "wings" J-Dog (Justin Marks) and Matador (Stan Tayi), and in the second season, J-Dog was replaced by Tara. In eight episodes, Mystery teaches the contestants with guidance and training to meet potential mates in various locations, such as coffee shops and night clubs. The contestants of the show compete with each other through a series of challenges. Most of the challenges on the first season involved picking up women in different situations, such as on a bridge during the day or in a nightclub. Some of the challenges were more novel, such as the second to last challenge (in the first season) where the men had to pick up a stripper, described by Mystery as "the ultimate challenge.".......njia rahc kudownload>install bit torrent or u torrent then google: mfano" pick up artist s01e01 torrent"...
 
ningeomba ututafutie na ya wadada......kuna saa zingine namdondokea jamaa....domo linakuwa zege.....naishia kufanya body langueji....jamaa linakuwa halielewi....nadhani site kama hiyo ukinitafutia....itanifaa zaidi........

Asante....
 
Back
Top Bottom