Kwa wadada tu..

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,151
22,726
Okoa mahusiano yako kwa kuepuka maswali ya kipuuzi kama haya....

1. Uko wap?
2. Wafanya nin?
3. Huli leo?..

.. Mengine mwayajua wenyewe.. Yanatukera. Take care.
 
Hujafika nyumbani mpaka sasa. Uko wapi mbona kelele sana. Nani huyo kakupigia simu? Msg imetoka wapi?
 
Ukishindwa kujibu hayo maswali basi humpendi mwenzio! Naamini kama unampenda mtu utapenda ajue uko wapi na unafanya nini na nani! Huo ndo upendo ninaojua! Kama hutayajibu basi utakuwa msaliti mkubwa! Mwenye mapenzi au upendo wa kweli atatamani asikie sauti ya mwenzie kila wakati!
Nikimpata atakaekuwa ananiuliza hayo maswali nitamganda kama nta!
 
Wewe nawe. . .
Sasa usipomuuliza ili:
1. Ukae mkao wa kumpokea. .
2. Ujue lolote likitokea. .
3. Ujue nini cha kumwandalia . .
. . atajaliwa na nani mwingine?

Usiwe mzembe kwenye mahusiano. . tumia akili.
 
Tatizo sisi nasi si wakweli. Tunaweza kuishi na mtu usiyempenda just because anacho tunachokipenda na kikipotea kwishne
 
Tatizo sisi nasi si wakweli. Tunaweza kuishi na mtu usiyempenda just because anacho tunachokipenda na kikipotea kwishne

hapa tatizo ni kuwa wanaume wengi tunashindwa kutofautisha kupenda na kutamani msichana! Kama msichana ulienae ulimpenda kweli wala hayo maswali hayatakukwaza milele! Tupunguze makengeza ktk kufanya maamuzi ya mke/ mme!
 
Kujua mwenzi wako alipo ni muhimu sana. Na km ataamua kuniacha simply because nimemuuliza hayo maswali basi hakunipnda kwa dhati na pengine ananicheat somewhere.

Those are simple and very caring questions.
 
...wife.. Nasafishaa kucha saloon HONEY.!
..mume.. Ok dia..!

....daaamnn
 
Tatizo kubwa ni kwamba wanawake ni viumbe wa ajabu sana. Wanasikiliza NUSU, wanaelewa ROBO, lakini wanaongea mara MBILI. Sitaki kabisa maswali ya kipuzi, nitakuzaba mabao na kukupa kibano kama mbwa mwizi.
 
umba binadamu wako ambae atakua kama jiwe haulizi lolote, au tafuta gubegube ambae hana upendo kwako thus urud home au usirud, ye kwake wala haimsumbui, by duin dat u wont hear those inevitable question 4 truly gals hu loves u 4 real..tc
 
Tatizo kubwa ni kwamba wanawake ni viumbe wa ajabu sana. Wanasikiliza NUSU, wanaelewa ROBO, lakini wanaongea mara MBILI. Sitaki kabisa maswali ya kipuzi, nitakuzaba mabao na kukupa kibano kama mbwa mwizi.

Basi we utakuwa unacheza sana mechi za nje!!
 
Back
Top Bottom